Hivi Sasa ni saa Saba Kamili!

0

Nani kutangazwa leo kwaajili ya kujiunga na Klabu ya Simba SC? Fuatilia hapa pia mara tu atakapotangazwa, tutamuongeza katika kikosi cha Simba...

KABLA HAJATUA SIMBA, BWALYA ALIAMSHA DUDE

0

MSHAMBULIAJI Mzambia, Walter Bwalya ambaye anatarajiwa kutua Simba siku chache zijazo amechambuliwa kuwa ni mmoja wa washambuliaji wazuri na mwenye uwezo mkubwa wa kufunga...

SHAHIDI AOMBA MAJI MAHAKAMANI KESI YA AVEVA

0

SHAHIDI namba tano, Jovin Kalinga ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar kuwa, alikuwa anafahamiana na kiongozi wa zamani wa Simba, Zacharia Hans...

HAYA NDIYO MAMILIONI YALIYOGHARIMU USAJILI WA NYONI, BOCCO NA MANULA SIMBA

0

Mambo ni moto! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya uongozi wa Klabu ya Simba hivi karibuni kuwaongezea mikataba baadhi ya nyota wake kwa ajili...

WAKATI IKIELEZWA ANATANGAZWA SIMBA LEO, YANGA WAJA NA MPYA JUU YA AJIBU

0

UONGOZI wa Klabu ya Yanga umethibitisha kuwa bado unamuhitaji kiungo wao mshambuliaji, Ibrahim Ajibu na kilichobakia ni yeye kuamua lini asaini mkataba wa kuendelea...

NAMUNGO KUSAJILI WACHEZAJI 20

0

KOCHA wa Namugo FC, Hitimana Thiery amesema kuwa watabaki na wachezaji 20 wa kikosi cha kwanza kwa kuheshimu mchango wao wa kuipambania timu.Akizungumza na...

RIPOTI YA KOCHA RUVU SHOOTING YATUA MEZANI

0

UONGOZI wa Ruvu Shooting umesema kuwa umepokea ripoti ya kocha wa Ruvu Shooting, Ablumutik Haji hivyo kwa sasa wanaifanyia kazi taratibu. Ofisa Habari wa...

AMUNIKE: TUTAFANYA MAAJABU MISRI

0

KOCHA wa timu ya Taifa ya Tanzania, Emmanuel Ammunike amesema kuwa kwa sasa kikosi kipo sawa kwa ajili ya mchezo wa kesho dhidi ya...

LEO NDIO LEO, KUBWA KULIKO KUFANA, MOJA KWA MOJA AZAM TV

0

LEO Jumamosi, Juni 15, Kubwa Kuliko itazinduliwa rasmi ukumbi wa Diamond Jubilee, Upanga jijini Dar es Salaam na wanachama pamoja na viongozi wa Yanga...

POLOKWANE FC WAIKOMALIA SIMBA ISHU YA BOCCO

0

KAMA mipango ikienda sawa huenda nyota wa Simba, Adam Salamba akatua Afrika Kusini kukipiga klabu ya Polokwane FC.Dili hilo limekuja baada ya dili la...