“NITAKA JEZI YA MANULA…PALE SIMBA NAMBA YANGU IKO ….”

0

"Natamani nicheze na Aishi Manula.” Ni kauli ya kipa namba moja wa Tanzania Prisons, Hussein Abel akielezea ndoto zake za kucheza soka katika timu kubwa na wachezaji wa viwango vya juu, huku akisema pale Simba anapata namba. Abel ambaye ni mchezaji pekee wa Ligi Kuu kwenye kijiji cha Songabatini wilayani Muheza mkoani Tanga, amekuwa mmoja wa makipa bora nchini akiacha...

KUELEKEA MECHI NA WATUNISIA…RAGE AIBUKA NA HAYA KWA YANGA…ATOA MKANDA MZIMA WA FIGISU ZAO…

0
Habari za Simba

Kigogo mmoja wa Simba, amekiangalia kikosi cha Yanga kilichocheza na Club Africain na kutoka suluhu, kisha akaichorea ramani kwa mchezo wa marudiano akiamini kama watazitumia vyema basi watakuwa na nafasi kubwa ya kuwangoa Watunisia licha ya kwenda kucheza ugenini. Kikosi cha Yanga kinachotarajiwa kuondoka nchini leo Ijumaa kuwahi pambano hilo litakalopigwa Jumatano kuanzia saa 1:00 usiku kwenye Uwanja wa Olympique...

KUELEKEA MECHI NA WAARABU….YANGA WASOPOZINGATIA HAYA WALA WASIJISUMBE…

0

Licha ya matumaini makubwa waliyokuwa nayo mashabiki na wapenzi wa Yanga, mambo yalienda kombo baada ya timu hiyo kulazimishwa suluhu nyumbani ikiwa ni mwendelezo wa mzimu wa kutokuwa sawa katika michuano ya Afrika kila inapotia mguu. Yanga ikicheza nyumbani ililazimishwa suluhu na Club Africain ya Tunisia katika mchezo wa kwanza wa hatua ya mtoano (play-off) wa Kombe la Shirikisho Afrika. Matokeo...

SIMBA WAFANYA MAAMUZI KWA MZAMIRU YASSIN…WAKENYA WAMBEBA ONYANGO…

0

Kiungo Mtanzania Mzamiru Yassin ametajwa kuwa mshindi wa Tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Oktoba wa Simba SC akiwashinda Beki Joash Onyango pamoja na Kiungo Mshambuliaji Augustine Okrah. Mzamiru ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo hiyo kwa kupigiwa kura nyingi na Mashabiki wa Simba SC, kupitia Tovuti ya Klabu hiyo. Simba SC imethibitisha na kumtanzania Kiungo huyo kupitia kurasa zake za Mitandao...

MATOLA : NIMECHOKA KUGEUZWA KICHAKA CHA MATATIZO SIMBA….NINA NDOTO ZANGU NA MIMI…

0

Kocha Msaidizi wa Simba SC, Selemani Matola amekanusha taarifa ambazo zimekuwa zikitolewa na baadhi ya mashabiki kuwa anaihujumu timu yake hasa inapopata matokeo mabaya. "Haiwezekani mashabiki wanigeuze mimi kichaka cha lawama tena wakati mwingine wananipa tuhuma za kuhujumu timu. Inawezekana vipi mimi nikahatarisha kibarua changu kwa kuhujumu kazi yangu! "Mimi nina ndoto za kuwa Kocha Mkubwa Afrika, siwezi kuingia kwenye kashfa...

JULIO : WAAMUZI BONGO ‘WANAIKOSTI’ YANGA KIMATAIFA…VIONGOZI WAO WAACHE UJANJA UJANJA…

1
Habari za Michezo

Baada ya timu ya Yanga kutoka suluhu dhidi ya Club African kwenye mchezo wa kwanza wa kufuzu hatua ya makundi kwenye kombe la Shirikisho Afrika, CAF, mchezaji na kocha wa zamani wa Simba, Jamhuri Kiwelu Julio ameitaka timu hiyo kukubali kujiwekeza kwa muda mrefu ili kufanya vizuri kimataifa. Akizungumza, Julio amesema kuwa, kila kitu kinahitaji maandalizi hivyo Yanga hawawezi kufanya...

DUBE : LILE GOLI NILILOWAFUNGA SIMBA MKOPO BANK UNAOMBEA NA UNAPATA….

0
Habari za Simba

Straika wa Azam FC Prince Dube ametatua mjadala wa goli lilipi lilikuwa bora, kati ya lile alilowafunga Yanga msimu juzi kwa shuti kali kipa akiwa Mkenya Faruk Waza Shikalo na lile la juzi akimtungua kipa wa Simba Aishi Salumu Manula. Dube amesema mabao yote hayo ni mazuri kuwahi kuyafunga yeye akiwa kwa Mkapa lakini kwa upande wake yeye kumfunga Manula...

MAHITAJI YA MOSES PHIRI SIMBA YASHTUA….ATAKA MAMBO KAMA YA OKWI NA KAGERE…

0
Habari za Simba

Kinara wa mabao Simba, Moses Phiri amewatahadharisha wachezaji wenzake akiwaambia kazi haijaisha licha ya timu hiyo kufanya vyema nyumbani na kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika. Phiri mwenye mabao 10 aliyoifungia timu hiyo kwenye Ligi Kuu Bara na ile ya Afrika, alisema licha ya kutupia vya kutosha lakini havimbi kichwa na wala hataki wenzake kudhani kazi imeisha kwa vile bado wana...

ODDS BOMBA ZA MERIDIANBET WIKIENDI HII ZIKO HIVI….BET KIDOGO PATA SANA…

0

Ni muendelezo wa Ligi mbalimbali ulimwenguni, EPL, LaLiga, Ligue 1, Serie A na Bundesliga zote zitatimua vumbi wikiendi hii, Usiwaze kuhusu Odds bomba na kubwa, ni Meridianbet pekee ndio Mabingwa wa Odds hapa Tanzania.  Jumamosi yenye mzuka itaanza kwa mechi kali ya EPL ni Manchester City ambao watakuwa ni wenyeji wa Fulham, wakiwa na rekodi nzuri ya kufunga na ushindi...

KUHUSU ISHU YA YANGA KUWAHI KWENDA TUNISIA MAPEMA….UKWELI WA JAMBO UKO HIVI…

0
Habari za Yanga

MAPEMA jana jioni kikosi cha Yanga kimeanza safari kuelekea nchini Tunisia kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kuwakabili wapinzani wao Club Africain. Jesus Moloko nyota wa Yanga ni miongoni mwa wachezaji waliokuwa kwenye msafara ulioanza safari jana Novemba 4,2022 kuelekea nchini Tunisia. Bernard Morrison, Khalid Aucho, Fiston Mayele, Diara, Mshery, Kibwana Shomari na Dickson Job nao wapo kwenye msafara huo pia. Yanga...