SAA CHACHE KABLA YA KUWAVAA WAARABU LEO….JEURI YA YANGA LEO IKO HAPA ….
ZIKIWA zimesalia saa chache kabla ya Mabingwa wa Tanzania Yanga kushuka Uwanja wa ugenini dhidi ya CR Belouizdad kuna mechi sita zitakazowapa…
Browse all posts in this category.
ZIKIWA zimesalia saa chache kabla ya Mabingwa wa Tanzania Yanga kushuka Uwanja wa ugenini dhidi ya CR Belouizdad kuna mechi sita zitakazowapa…
SAA 4 usiku usiguse rimoti. Yanga itakuwa palepale iliposhinda siku ile dhidi ya USM Algers lakini wakakosa Kombe la Shirikisho Afrika sababu…
ASEC Mimosas ya Ivory Coast, tayari ipo nchini kuwahi pambano la kwanza la Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi dhidi ya…
YANGA wako Algeria na kesho watapambana na CR Belouizdad ya huko kwenye mechi ya kwanza ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika…
Ligi ya Mabingwa Afrika inaanza leo kutimua vumbi kwenye viwanja tofauti Algeria, na Misri kutawaka sana kwa michezo miwili hatari, Yanga waliopo…
Simba SC inatarajiwa kumkosa Aishi Manula kwenye mchezo wa kesho wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Asec Mimosas katika Uwanja wa…
Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi amesema kuwa amewaandaa vya kutosha vijana wake kwa mbinu mbadala zitakazowaweka salama ikiwezekana kupata ushindi katika mchezo…
KLABU ya Yanga leo inashuka dimbani Algeria katika mchezo wa kwanza michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kundi D dhidi ya CR…
Mabingwa wa Ligi Kuu Bara, Yanga wao wanarudi tena kwenye mechi za hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika mara ya…
Simba itaanza harakati zake za kuwania kuingia katika nafasi iliyozoea ya robo fainali kesho licha ya kwamba ubora wa kikosi hicho kwa…
Fiston Mayele atakabiliana na Wakongomani wenzake wakati klabu yake ya Pyramids ikivaana na TP Mazembe katika mchezo wa kwanza wa hatua ya…
Beki kisiki wa Klabu ya Simba, Che Fondoh Malone Junior raia wa Cameroon amekiri kuwa wana mapungufu katika safu yao ya ulinzi…