KIKOSI CHA TAIFA STARS KIMEWASILI MOROCCO KWA NAMNA HII
Timu ya Taifa “Taifa Stars” imewasili salama nchini Morocco kwa ajili ya mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Niger utakaochezwa…
Browse all posts in this category.
Timu ya Taifa “Taifa Stars” imewasili salama nchini Morocco kwa ajili ya mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Niger utakaochezwa…
Ilikuwa kama utani vile wengine waliona ndoto na wapo waliohisi haiwezekani lakini kijana kutoka Morogoro huko aliamini kuwa inawezekana kama tu ataamua…
Kiungo wa pembeni wa Yanga, Mahlatse Makudubela ‘Skudu’ amesema anachosubiri kwa sasa ni makocha wa timu hiyo kumpa nafasi kwenye timu na…
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kupitia East Africa Ardio, Nsajigwa Senior ameushauri uongozi wa Klabu ya Simba kuachana na kiungo mshambuliaji…
Klabu ya Simba imetangaza viingilio vya mchezo wao wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Asec Mimosas utakaochezwa…
Mshambuliaji wa Simba, Shaaban Chilunda ana kazi ya kujitetea mwenyewe uwanjani, ili kuwaonyesha viongozi wa klabu hiyo hawakukosea kumsajili, kwani usajili wake…
Meridianbet kwa kushirikiana na Expanse studio wanakuja na vitu vipya, michezo mipya ya kasino mtandaoni itakayozinduliwa kwenye maonyesho ya SiGMA World Europe.…
Kocha mkuu wa Yanga , Miguel Gamondi amefunguka kuwa baada ya kunasa faili la wapinzani wao sasa kazi ni kujiweka sawa ili…
Mabosi wa Klabu Bingwa Tanzania Bara Young Africans mwanzoni mwa juma hili waliondoka jijini Dar es salaam kuelekea nchini Algeria, kwa ajili…
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klanbu ya Simba, Ahmed Ally amesema kuwa kejeli ambazo mashabiki wa timu hiyo wanazipata hivi sasa…
Novemba 7, 2023, ilikuwa Jumanne ya wiki iliyopta, Klabu ya Simba ilitoa taarifa ya kuvunja mkataba wa Kocha Mkuu, Roberto Oliveira ‘Robertinho’,…
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Salum Abdallah ‘Try Again’ amesema kama klabu na Taifa la Tanzania, bado kuna safari…