KUELEKEA MECHI NA NIGER…TAIFA STARS MAMBO NI ‘NGINJA NGINJA’….
KOCHA Mkuu wa Timu ya Taifa Tanzania, Taifa Stars Adel Amrouche ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa mchezo wa kuwania kufuzu Kombe…
Browse all posts in this category.
KOCHA Mkuu wa Timu ya Taifa Tanzania, Taifa Stars Adel Amrouche ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa mchezo wa kuwania kufuzu Kombe…
Leo hii ikiwa ni Ijumaa, timu nzima ya Meridianbet imefika katika eneo la Kimara na Mbezi na kutoa Reflectors kwa boda boda…
Kocha wa zamani wa Simba, Sven Vandenbroeck amesifia mashabiki wa klabu hiyo lakini akataja changamoto zilizoko kwenye viwanja vya mikoani. Amekwenda mbali…
Kuhusu mabango ya Yanga ambayo yamewekwa sehemu mbalimbali jijini Dar es Salaam yakionyesha matokeo ya kuifunga Simba mabao 5-1, uongozi wa Simba…
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amewataka mashabiki kusahau yaliyopita na kujitokeza uwanjani. Ahmed ameyasema hayo leo alipokuwa…
Uongozi wa Simba SC umewataka Wachezaji wa Klabu hiyo kupambana na kutambua uchungu wanaoupata Mashabiki na Wanachama pale mambo yanapokwenda mrama. Ombi…
KOCHA Mkuu wa JKT Tanzania, Malale Hamsini amesema ana mpango wa kusajili wachezaji wawili kwenye dirisha dogo ili kikosi chake kizidi kufanya…
Kocha Mkuu wa Azam FC, Youssouph Dabo, amesema bado kikosi chake kipo kwenye mbio za ubingwa na kwa sasa wanaendelea na maandalizi…
Mabosi wa Simba wanaendelea kukuna kichwa juu ya kumalizana na kocha Abdelhak Benchikha ambaye ndiye pekee aliyepenya kwenye mchujo uliofanyika, ili wamlete…
Nyota wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars wameweka wazi kuwa watapambana kupata matokeo kwenye mchezo wao dhidi ya Niger ambao…
Makamu wa Rais wa Yanga SC Arafat Haji ameahidi kutoa shilingi laki 5 kwa kila goli ambalo watafunga Zanzibar U15 kwenye mchezo…
Timu ya Simba SC imeshika namba 1 Afrika miongoni mwa timu zenye ushawishi mkubwa katika mtandao wa Instagram kwa mwezi Oktoba. Kwenye…