SIMBA SC YAFUZU ROBO FAINALI FA CUP KIBABE
Mabingwa wa Watetezi wa Ligi Kuu Tanzania na kombe la FA , Simba SC imefanikiwa kuingia hatua ya Robo Fainali ya…
Browse all posts in this category.
Mabingwa wa Watetezi wa Ligi Kuu Tanzania na kombe la FA , Simba SC imefanikiwa kuingia hatua ya Robo Fainali ya…
Kocha Mkuu, Didier Gomez na wasaidizi wake wamepanga kikosi kamili kuelekea mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam hatua ya 16…
Kocha wa zamani wa Simba SC, PATRICK Aussems ameibuka na kusema kuwa Simba SC ina nafasi kubwa ya kuweza kufika fainali katika michuano hiyo kutokana na kurekebisha mambo mengi…
LICHA ya beki wa kushoto wa Simba Gadiel Michael kutokuwa na nafasi kikosi cha kwanza inaelezwa kuwa yupo kwenye mazungumzo na mabosi…
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kwamba upo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo wa Kombe la Shirikisho hatua ya 16 bora…
CLATOUS Chama, kiungo mshambuliaji wa Simba raia wa Zambia rekodi zinaonyesha kuwa akiwa amehusika kwenye mabao 20 kati ya 58 yaliyofungwa na…
Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi Simba, Mohammed Dewji ‘Mo Dewji’ ameonekana kuvutiwa na kazi ambayo inafanywa na benchi la ufundi la…
WAKATI leo kikosi cha Simba kikiwa na kazi ya kusaka mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Kagera Sugar, kikosi hicho kinatarajiwa…
KUELEKEA kwenye mchezo wa kesho Mei Mosi, ambao ni wa Kombe la Shirikisho hatua ya 16 bora, Uwanja wa Mkapa saa 1:00…
KLABU ya Simba imepangwa kucheza na Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini katika hatua ya robo fainali kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika katika…
IKIWA tayari imeshamalizana na nyota wake watatu ambao ni nahodha John Bocco, nahodha msaidizi Mohamed Hussein,’Tshabalala’ na beki wa pembeni Shomari Kapombe…
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Larry Bwalya amesema kuwa timu hiyo ina nafasi kubwa ya kufanya maajabu katika Hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika ambayo inatarajiwa kupangwa leo Ijumaa.…