KAGERE: NINAPENDA KUFUNGA KWA KUWA NI KAZI YANGU
MEDDIE Kagere mshambuliaji wa Simba amesema kuwa anapenda kufunga muda mwingi akiwa uwanjani jambo linalomfanya aongeze juhudi. Ndani ya Ligi Kuu…
Browse all posts in this category.
MEDDIE Kagere mshambuliaji wa Simba amesema kuwa anapenda kufunga muda mwingi akiwa uwanjani jambo linalomfanya aongeze juhudi. Ndani ya Ligi Kuu…
MTATHIMINI viwango wa timu ya Simba,Culvin Mavhunga amefunguka kuwa kwa sasa akili yake ipo kwenye mechi za kimataifa kuona ni timu…
INAELEZWA kuwa aliyekuwa kocha mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck amepeleka malalamiko yake ya madai ya stahiki zake kwenye Shirikisho la Soka Duniani,…
HASHIKIKI! Hivyo ndivyo utakavyosema kwa kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula ambaye ameingia kwenye tano bora ya makipa wenye ‘clean sheet’ katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. …
KIWANGO cha juu ambacho anakizidi kukionesha kiungo mshambuliaji wa Simba, Luis Miquissone, kimekuwa bora kiasi kwamba kwa sasa anawakimbiza Waarabu katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Kiungo huyo anawakimbiza nyota…
NYOTA wa Simba Clatous Chama ameweka rekodi ya kuwa namba moja kwa wanaotengeneza pasi za mwisho ndani ya Ligi Kuu Bara msimu…
DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa amekuwa akipata wakati mgumu pale wachezaji wake wanapoonyeshwa kadi za njano wakiwa kwenye kutimiza…
KOCHA Mkuu wa Simba, Didier Gomes amesema kuwa amewaambia wachezaji wake wanapaswa kuonyesha ukubwa walionao kwa kupata matokeo chanya kwenye mechi…
WAKATI Simba inaingia hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mara ya kwanza ikiivua Zamalek ubingwa wa Afrika, asilimia 95 ya…
KIUNGO wa zamani wa klabu ya Yanga na timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars Ally Mayay amesema kuwa kama Simba…
MLINDA mlango namba moja wa kikosi cha klabu ya Simba, Aishi Manula amekiri kuwa uwepo wa kipa namba mbili wa kikosi…
BEKI wa kulia wa kikosi cha klabu ya Simba, Fatuma Issa ‘Fetty Densa’, amefunguka kuwa ana matumaini makubwa kikosi chao kitarejea…