YANGA TIMU YA KWANZA KULETA KOMBE LA CAF…”WANANCHI MSIHOFU TUNABEBA…HAKUNA WA KUTUZUIA
“Sisi ndio tutakuwa timu ya Kwanza kutoka kwenye ardhi ya Tanzania kulileta Kombe la CAF nchini Inshallah, Jumapili tukifanikiwa kutinga Robo fainali…
Browse all posts in this category.
“Sisi ndio tutakuwa timu ya Kwanza kutoka kwenye ardhi ya Tanzania kulileta Kombe la CAF nchini Inshallah, Jumapili tukifanikiwa kutinga Robo fainali…
Michezo Ligi kuu soka Tanzania Bara ikiwa ipo raundi ya 25 na imesalia michezo 5 kabla ya kumalizika kwa msimu, takwimu zinaonyesha…
Imeelezwa kuwa klabu ya Al Hilal ya Sudan inayofundishwa na kocha mwenye jina kubwa Afrika, Florent Ibenge inaangalia uwezekano wa kuipata saini…
Wababe wa Ligi Kuu, Simba na Yanga wiki hii watakuwa na mechi za kuamua hatima yao katika mashindano ya Kimataifa. Simba inashuka…
Klabu ya Yanga inaripotiwa kuwa imeshafunga hesabu za kumsajili fundi wa Singida Big Stars, Bruno Gomez kama mambo yataenda kama yalivyopangwa, ataonekana…
Wakati mjadala ukizidi kupamba moto kutokana na kujumuishwa katika kikosi cha Timu ya Taifa Kiungo wa Yanga, Feisal Salum “Fei Toto” wakati…
Kocha wa Yanga, Profesa Nasreddine Nabi amesema Hawaogopi Monastir, japo waliwafunga kwao na wao wana uwezo wa kuwafunga hapa na wanaendelea kufanyia…
Makamu wa Rais wa Yanga SC, Arafat Haji ametoa tiketi 1000 za kushuhudia mchezo dhidi ya US Monastir katika mchezo utakaochezwa jumapili…
Pointi 8 ambazo wamewaacha watani zao wa jadi Simba, zimeipa kiburi Yanga ya kufanya vizuri kwenye mechi zijazo za Ligi Kuu Bara…
Kiwango bora kinachoendelea kuoneshwa na Yanga katika mashindano mbalimbali msimu huu, kimemuibua Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said ambaye ameweka wazi kuwa,…
Mshambuliaji wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans(YANGA) Fiston Kalala Mayele, amesema kwa namna pekee itakayomfanya afanikishe malengo ya kutwaa Tuzo…
Ali kamwe :”tunaenda kwenye matawi yetu makubwa kabisa ya Yanga pale kwa Mtogole kuna tawi kubwa, Kariakoo hapa kuna tawi kubwa. Tutawaambia…