Home Blog Page 2489
GOMES Angel nyota anayekipiga ndani ya Manchester United amewekwa kwenye rada na Barcelona.Kinda huyo anayekipiga ndani ya United mkataba wake unamalizika mwishoni mwa msimu huu.Gomes ana miaka 19 anataka kutimka ndani ya kikosi hicho licha ya United kumpa ofa...
INAELEZWA kuwa Yanga imeingia kwenye anga za kuiwinda saini ya  Rossein Tuisila Kisinda. Winga huyo mwenye umri wa miaka 20 anakipiga ndani ya Klabu ya AS Vita inayoshiriki Ligi Kuu ya DR Congo akiwa na uwezo wa kufunga pia.Watani zao...
IWAPO msimu wa 2019/20 wa Ligi Kuu England ukifutwa, Liverpool inabidi isahau kutwaa ubingwa licha ya kwamba inaongoza ikiwa na pointi 82 kibindoni.Mamlaka za soka barani Ulaya wameeleza kuwa Kuna uwezekano mkubwa wa msimu huu wa 2019/20 kufutwa ikiwa...
ALIYEKUWA Kocha wa Simba SC, Patrick Aussems amemtaja Jonas Mkude kuwa ni miongoni mwa wachezaji muhimu ambao waliifanya timu hiyo kufanya vizuri katika michezo ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa 2018/19.Simba ikiwa chini ya kocha huyo raia wa...
SIFAEL Paul, mhariri wa Magazeti Pendwa ya Global Group, leo amefanyiwa bonge moja ya 'surprise' na Uongozi wakati akitimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa huku akiwa kwenye nafasi ya uhariri kwa miaka 10. Paul kwa sasa anasimamia gazeti la Ijumaa Wikienda...
ADOLF Rishard, Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons amesema kuwa kwa wakati huu tuliopo ni muhimu kwa watanzania kuzidisha dua ili nchi itoke kwenye janga hili la Corona na dunia nzima kiujumla.Kwa sasa Ligi Kuu nyingi duniani zimesimamishwa kupisha maambukizi...
NAHODHA wa Simba, John Bocco na mshambuliaji Meddie Kagere walianza kutengeneza pacha nzuri kwa kutengeneza urafiki na nyavu kabla ya Ligi Kuu Bara kusimama.Bocco na Kagere wakati Simba ikiwa imefunga mabao 63 wamehusika kwenye mabao 30 ambapo Kagere amefunga...
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa bado kuna mambo hayajakamilika ndani ya Simba kutokana na malengo waliyojiwekea hivyo iwapo Ligi Kuu Bara itarejea wataendelea pale walipoishia.Ligi Kuu Bara pamoja na ligi nyingine duniani zimesimamishwa ili kupisha maambukizi...
OLE Gunnar Solskajer, Kocha Mkuu wa Manchester United amewataka wachezaji kutumia muda huu wa mapumziko kupata ushauri kutoka kwa wapenzi wao, wake zao ili kupata nguvu ya kufanya mazoezi.  Ligi Kuu England pamoja na ligi nyingine duniani zimezimamishwa kutokana na...
ABDI Banda nyota wa Tanzania anayekipiga ndani ya Klabu ya Highlands Park inayoshiriki Ligi Kuu Afrika Kusini amesema kuwa wanapiga matizi kama kawaida ili kulinda vipaji vyao lakini ni ndani ya nyumba.Kwa sasa Ligi ya Afrika Kusini na nyingine...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS