Mlinzi wa kushoto, Muharami Issa Said amejiunga na kikosi cha Yanga kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Malindi fc ya Zanzibar.
PIUS Buswita mshambuliaji wa zamani wa kikosi cha Yanga ambaye amepigwa chini kwa sasa amewekwa kwenye rada za timu ya Kagera Sugar na Polisi Tanzania.Kagera Sugar chini ya kocha Mecky Maxime kwa sasa inaendelea kujisuka upya ambapo tayari imeanza...
IMEELEZWA kuwa beki wa Yanga, Gadiel Michael amemalizana na Simba kwa kandarasi ya miaka miwili kwa ajili ya kukitumikia kikosi hicho msimu ujao.Michael alipishana na Yanga kutokana na kumuwekea dau dogo jambo ambalo limemfanya aamue kujiunga na Simba ili...
Wakati uongozi wa Yanga ukiwa katika harakati zake za kukisuka upya kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao, mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Juma Balinya amepewa dawa ya kuitandika Simba kila atakapokuwa akikutana nayo uwanjani.Balinya aliyesajiliwa na Yanga hivi...
MUONEKANO WA GAZETI LA SPOTI XTRA KATIKA UKURASA WA MBELE LEO JUMAPILI
Game ya AFCON hatua ya 16 bora imekwisha na wenyeji Misri wanatupwa nje ya mashindano kwa bao 1-0 huku Afrika Kusini wakisonga mbele kwenye hatua ya robo fainali.Bao pekee la Afrika Kusini limefungwa na Thembinkosi Lorch mnamo dakika ya...
BAADA ya kuzuka ghafla kwa taarifa kuwa ndani ya uongozi wa Klabu ya Simba hakuna maelewano huku ikidaiwa mwekezaji klabuni hapo, Mohammed Dewji ‘Mo’ kuwa mbioni kung’atuka, Crescentius Magori amefunguka kila kitu.Taarifa za Mo kutaka kuondoka Simba zilianza kusambaa...
Inadaiwa kuwa beki wa Yanga, Gadiel Michael juzi jioni amesaini rasmi mkataba wa miaka mitatu ya kuichezea Simba kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara.Gadiel amesaini mkataba huo wa kukipiga Simba ni baada ya mvutano wa muda...
Wakati Yanga ikianza maandalizi ya msimu ujao kesho Jumapili, Kocha Mkuu wa kikosi hicho, Mwinyi Zahera amekuja na mkakati mpya kuhakikisha timu hiyo haifungwi mabao mengi msimu ujao.Yanga mpaka sasa imesajili wachezaji 13 wapya na leo Jumapili watakwenda mkoani...