Home Blog Page 2812
MLINDA mlango wa Simba, Aishi Manula ameongeza mkataba wa miaka mitatu kuendelea kuitumikia klabu hiyo yenye maskani yake mitaa ya Kariakoo, Msimbazi.Manula anakuwa mchezaji wa pili kutambulishwa rasmi kuongeza mkataba ndani ya klabu hiyo baada ya jana mchezaji John...

Hakuna uhakika wa Zana

0
Hakuna uhakika wa ZanaSimba yakanusha kuwatema Zana na KwasiBocco ni mchezaji wa Simba na siyo Polikwane FC.Aussems anapowakataa Kotei, Niyonzima na kumkubali Zana ni matokeo niliyotarajiBaada ya Bocco, Simba kutangaza mwingine leo!Kandanda inatambua kuwa kuna uwezekano mkubwa...
KOCHA wa Lipuli, Seleman Matola amesema kuwa mpaka sasa hajaitwa mezani na uongozi wa Lipuli kujadili hatma ya mkataba wake pamoja na mipango ya msimu ujao.Akizungumza na Saleh Jembe, Matola amesema kuwa kambi yao baada ya ligi kuisha pamoja...
UONGOZI wa Simba umesema kuwa klabu ya Polokwane FC ya nchini Afrika Kusini imekiuka makubaliano ya FIFA kwa kudai mchezaji John Bocco ni mali yao.Jana Simba walitoa taarifa rasmi kuhusu kumuongezea kandarasi ya miaka miwili nahodha wa kikosi hicho...
IMERIPOTIWA kwamba Manchester United wana mpango wa kumsainisha kwa dau la Euro 70 milioni, kiungo mshambuliaji wa Sporting Lisbon, Bruno Fernandes. United wanashindana na wapinzani wao Manchester City kuipata saini ya nyota huyo mwenye miaka 24 ambaye ni mkali wa...
Baada ya jana Simba Sc kutangaza kumuongezea mkataba John Bocco, leo hii itatangaza mchezaji mwingine tena waliomsajili. Akizungumza na mtandao huu mtendaji mkuu wa klabu ya Simba, Bwana Magori amedai kuwa leo kutakuwepo na tangazo jipya la mchezaji.”...
STRAIKA namba moja wa Nkana ya Zambia, Walter Bwalya ameweka wazi kwamba amepokea ofa ya Simba na Sportif Sfaxien ya Tunisia.Mchezaji huyo mwenye asili ya DR Congo amesema kwamba bado wako kwenye majadiliano ambayo yanakwenda vizuri na huenda wakakamilishana...

GARI LA BIA LAIBIWA

0
MAMTONI kweli kuna mambo tena si madogo! Kampuni moja ya bia ijulikanayo kama Unknown Brewery imeibiwa gari lake la bia na kutoa ofa ya bia za bure kwa atakayelirudisha.Kwa kutumia kamera maalum za CCTV, kampuni hiyo ilipoteza gari lake...
KIKOSI cha mabingwa wa Afrika mashariki na Kati, Azam FC ambao ni  watetezi wa kombe la Kagame msimu wa mwaka 2018/19 mambo yao yalikuwa moto kwani wameweza kutwaa makombe matatu kati ya manne ambayo wameshiriki.Ni kombe moja tu Azam...
UONGOZI wa Mwadui FC umesema kuwa kwa sasa hesabu zao ni kusuka kikosi kipya kitakacholeta ushindani mkali msimu ujao baada ya kubaki kwenye Ligi Kuu Bara. Akizungumza na Salehe Jembe, Katibu wa Mwadui, Ramadhan Kilao amesema kuwa baada ya...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS