Home Blog Page 2824
MLINDA mlango wa Yanga Ramadhani Kabwili amesema bado hawajafikia muafaka na mabosi wa timu moja nchini Sudan.Akizungumza na Championi Jumatano, Kabwili alisema; “Mkataba wangu na Yanga umekwisha na bado sijaongeza mkataba mwingine, kwa sasa naendelea na mipango yangu mingine...
UONGOZI wa kikosi cha Polisi Tanzania umesema kuwa kwa sasa hesabu kubwa ni kujipanga kisawasawa kwa ajili ya msimu wao wa kwanza ndani ya Ligi Kuu Bara hivyo wanaanza na usajili makini utakaowafanya wawe imara.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa...
KOCHA wa Azam  FC Idd Cheche amesema kuwa haikuwa bahati mbaya wao kutwaa ubingwa wa kombe la Shirikisho mbele ya Lipuli mchezo uliochezwa uwanja wa Ilulu, Lindi kwa kuwa walijipanga mapema na walitambua aina ya timu waliyokutana nayo.Azam FC...
BAADA ya Shirikisho la Soka Afrika (Caf) kuongeza nafasi mbili kwa nchi ya Tanzania kushiriki michuano ya kimataifa kwa msimu wa mwaka 2019/20 na nafasi hizo mbili kuchukuliwa na Yanga pamoja na timu ya Manispaa ya Kinondoni (KMC) Shirikisho...
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi katika klabu ya Simba, Salim Abdallah 'Tyry Again' amesema ni faraja kubwa kwa Tanzania kupata timu nne zitakazoshiriki mashindano ya kimataifa msimu ujao ikiwemo Yanga.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Shirikisho la Soka Barani...
Alichokiandika Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, kuhusiana na kutoka kwa nafasi nne kwa timu za Tanzania kushiriki mashindano ya kimataifa Nafasi hizo zimetolewa na Shirikisho la Soka Afrika CAF
IMEFAHAMIKA kuwa mabosi wa Yanga wapo kwenye mazungumzo ya mwisho ya kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa Napsa Stars FC ya nchini Zambia, Laudit Mavugo aliyewahi kuichezea Simba.Yanga chini ya Kocha Mkuu wa timu hiyo Mkongomani, Mwinyi Zahera wamepanga kukisuka...
Mshambuliaji wa Simba, Adam Salamba atabakia klabuni hapo kwa msimu ujao endapo kocha wake Patrick Aussems atamhitaji. Ingawa kwa hali ilivyo ni asilimia ndogo.Salamba amekuwa akitajwa kuwa moja ya wachezaji ambao wanawezwa kuachwa.Salamba amesema kuwa kusalia ama kutosalia ndani...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limethibitisha Tanzania kuwa. A timu nne (4) katika maahindano ya Kimataifa kwa msimu wa 2019/2020.Kwa taarifa hii inamaana timu mbili zitashiriki ligi ya mabingwa na mbili nyingine kombe la shirikisho.Nafasi...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS