Home Blog Page 2893
KIUNGO fundi wa timu ya Simba Haruna Niyonzima amesema kuwa kitendo walichofanya Mbwana Samatta ambaye ni nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania na Ally Kiba kimempa somo kubwa hivyo atakipeleka Rwanda.Samatta na Kiba juzi walicheza mchezo wa hisani...
UONGOZI wa kikosi cha Namungo FC ya mkoani Mtwara ambayo imepanda daraja msimu huu umesema kuwa umejipanga kuwatangaza wachezaji wake wapya hivi 11 hii karibuni.Nurdine Barola raia wa Burkina Faso anayeitumikia Biashara United imeelezwa kuwa ni miongoni mwa mapendekezo...
Basi aina ya Coaster lililokua kwenye msafara wa kuelekea Nandy Festival Sumbawanga limepinduka Mikumi usiku wa kuamkia leo.Msafara huo ulikuwa na Wasanii Juma Nature, Whozu, Stamina,Nandy,Barnaba, Roma, Billnass, Ice Boy na Willy Paul.Maneja wa Nandy amesema Basi lililopata ajali...
MAKOCHA wawili maarufu na wenye heshima kwenye soka la Tanzania, Jamhuri Kihwelu ‘Julio’ na Juma Pondamali wamekiri kwamba Yanga mpya itakuwa tishio. Julio na Pondamali wamejenga heshima ndani ya Simba na Yanga wakiwa kama wachezaji na makocha.Julio ametamka kwamba...

WAWA: NINAONDOKA BONGO

0
BEKI kisiki wa Simba mwenye mwili uliojengeka kimazoezi Pascal Wawa amesema kuwa kwa sasa anatarajia kuondoka bongo muda wowote kuelekea nchini Ivory Coast kwa ajili ya mapumziko mafupi.Akizungumza na Saleh Jembe, Wawa amesema kuwa baada ya kutwaa ubingwa ndani...
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Moshi imemhukumu kunyongwa hadi kufa mlinzi wa Shule ya Sekondari ya Scolastica, Hamis Chacha (30), baada ya kupatikana na kosa la kumuua mwanafunzi Humprey Makundi (16).Aidha, mahakama hiyo imewahukumu watuhumiwa wengine ambao ni mmiliki wa...
KUFUATIA taarifa iliyotolewa na Ofisa Habari wa Shrikisho la Soka Tanzania (TFF), Cliford Ndimbo kueleza kuhusu hali ya beki wa timu ya Simba na timu ya Taifa Stars, Shomari Kapombe kwamba amejitonesha majeraha yake Ofisa Habari wa Simba Haji...
KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kimeanza mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na michuano ya Afcon itakayofanyika nchini Misri mwezi Juni.Stars kwa sasa imeweka kambi ya ndani kwa muda wa wiki moja ambapo baada ya kumaliza...
Mechi zote za leo za Playoff zimekamilika kwa timu zoe kutoshana nguvu huku wote wakitamba kupata matokeo mchezo wa mwisho utakaochezwa Juni 8 mwaka huu.Mechi za mwisho ndizo ziakazoamua timu ambayo itapanda daraja ama kubaki kwenye ligi kati ya...
KATIKA vitu ambavyo viliziangusha timu nyingi zilizoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2018/19 ambao ulimalizika hivi karibuni, ni suala zima la usajili.Usajili huo ni ule wa dirisha kubwa ambao ulifanyika kabla ya kuanza kwa msimu pamoja na dirisha...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS