Trending Stories
View All
TIMU YA MASAU BWIRE YAPAPASWA NA TFF, ALAMA NA BAO TATU ZAPELEKWA PRISONS
Mechi namba 205- Ruvu Shooting vs Tanzania Prisons FC. Tanzania Prisons FC imepewa ushindi wa pointi tatu na mabao matatu…
ALIYEMPIGA TEKE MWAMUZI YAMKUTA, TFF YALA NAYE SAHANI MOJA
Mechi namba 80 Gipco FC 1 vs Gwambina FC 2- Meneja wa timu ya Gipco Ayubu Msonge amepelekwa Kamati ya…
MEDDIE KAGERE AKWAMA DAKIKA 360 BILA KUTUPIA
MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba amecheza mechi nne sawa na dakika 360 bila kufunga bao kwenye Ligi Kuu Bara inayoendelea…
MZUNGU WA YANGA:HUYO MOLINGA MTAMUELEWA TU
Luc Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa uwepo wa Molinga ndani ya Yanga ni moja ya silaha kwake itakayompa…
NAMUNGO FC YAZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA MWADUI FC
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo FC amesema kuwa kikosi chake kipo sawa na kinaendelea na maadalizi kwa ajili ya…
LIPULI:NJOONI SAMORA MPATE BURUDANI
UONGOZI wa Lipuli umesema kuwa mashabiki wajitokeze kwa wingi kesho, Februari 15, Uwanja wa Samora kuona watakachomfanya mnyama Simba bila …
HIZI HAPA NNE ZA LIGI KUU BARA MAMBO BADO MAGUMU
MWADUI FC, Mbeya City, Mbao FC na Singida United zinateswa na upepo mbaya wa kupambania nafasi zao za kubaki ndani…
YANGA YAWAITA MASHABIKI KESHO TAIFA
JUMA Abdul, nahodha msaidizi wa timu ya Yanga amesema kuwa ushindani wa Ligi Kuu Bara ni mkubwa nao wanapambana kufikia…
SI SAWA, NI HATARI SANA WACHEZAJI KUCHANGANYIKA NA MASHABIKI KAMA ILIVYOKUWA JAMHURI
Na Saleh Ally MATATIZO mengi huanza kutokea kwanza na baada ya hapo watu huanza kutafuta utatuzi wake, wakati ilikuwa inawezekana…
SIMBA YAANZA KUIWINDA LIPULI, MZUNGU AZITAKA POINTI TATU
KIKOSI cha Simba kipo mkoani Iringa kwa sasa kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa kesho, Februari 15…
AZAM FC YAWAITA MASHABIKI UHURU KUSHUHUDIA BURUDANI
JAFFARY Maganga, Ofisa Habari wa Azam FC amesema kuwa mashabiki wajitokeze kwa wingi kesho, Februari 15 Uwanja wa Uhuru kuona…
TWIGA STARS KUANZA KAZI LEO NA MAURITANIA MASHINDANO YA UNAF
BAKARI Shime, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Wanawake Tanzania, Twiga Stars amesema kuwa watatumia nafasi ya kualikwa kwenye…
YANGA : PRISONS SIO WEPESI ILA TUTAPAMBANA KUPATA POINTI TATU
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa mchezo wa kesho dhidi ya Tanzania Prisons hautakuwa mwepesi kutokana na ugumu wa timu ambayo…
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa UKURASA wa nyuma Gazeti la Championi Ijumaa
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Ijumaa