VIDEO: YANGA HAKIELEWEKI MPAKA MAKUNDI, WAANZA KUWAFUATILIA WAPINZANI WAO

0
BAADA ya kikosi cha Yanga kupangwa na timu kutoka Nigeria, Rivers, uongozi wa Yanga umeweka wazi kwamba hesabu kubwa ni kuona kwamba wanaweza kutinga...

VIDEO: YANGA NA SIMBA WOTE MOROCCO, WATUMIA GARI MOJA

0
TIMU mbili kutoka Tanzania, Simba na Yanga zimeweka kambi nchini Morocco kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa 2021/22. Wakati wa kwenda mazoezini...

NYOTA WA YANGA AMISS TAMBWE KURUDI BONGO

0
 IMEELEZWA kuwa nyota wa zamani wa kikosi cha Yanga, Amiss Tambwe yupo kwenye hesabu za kutua ndani ya kikosi cha DTB kinachoshiriki Ligi Daraja...

VIDEO: INGIZO JIPYA NDANI YA SIMBA LINAAMINI KWAMBA MAKOMBE YATAONGEZEKA

0
INGIZO jipya ndani ya kikosi cha Simba kutoka Kagera Sugar, Abdul Swamad amesema kuwa anaamini kwamba baada ya kutua hapo makombe yataongezeka zaidi.Simba ni...

VIDEO:BATTEL YA TADDEO LWANGA V KHALID AUCHO NI NOMA

0
BAADA ya Simba kukamilisha usajili wa Taddeo Lwanga kwa upande wa kiungo mkabaji kuna ingizo jipya ndani ya Yanga ambaye naye ni kiungo Khalid...

KOCHA GOMES, MWENDO WA PASI TATU BAO

0
KOCHA wa Simba, Didier Gomes, ameonekana kuhitaji zaidi wachezaji wake watumie nafasi wanazozipata baada ya juzi kufanya zoezi la kugusa mpira mara chache na...

SIMBA YAMCHOMOA MWINGINE KAGERA SUGAR, AJIFUNGA MIAKA MITATU

0
NYOTA Abdul Swamad leo Agosti 17 ametambulishwa kuwa mali ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes. Nyota huyo anayecheza pia timu ya taifa ya...

BARCELONA YAINGIA ANGA ZA ARSENAL KUMSAKA AUBA

0
KLABU ya Barcelona inavutiwa na uwezo wa nyota wa Arsenal, raia wa Gabon, Pierre Emerick Aubameyang ambaye ni nahodha wa kikosi hicho pia jambo...

HAO YANGA HAWATANII..HIVI NDIVYO WALIVYOTEKETEZA KARIBU MILIONI 100 KISA MORRISON

0
WAKATI juzi Jumamosi ilitarajiwa kuwa Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi ya Michezo (CAS) kutoa majibu ya kesi kati ya Klabu ya Yanga na mchezaji,...

NYOTA WA SIMBA SHEVA KUIBUKIA KMC

0
 TAARIFA kutoka kambi ya KMC, zinasema kuwa klabu hiyo ipo mbioni kukamilisha usajili  wa mshambuliaji wa Simba, Miraji Athuman ‘Sheva’. Mtoa taarifa huyo anasema kuwa...