Trending Stories
View All
LIGI KUU BARA YAANZA NA REKODI BAB KUBWA
Safari ya kusaka ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2019/20 ilianza rasmi Agosti 24,mwaka huu katika viwanja tofauti. Na…
SIMBA YASHUSHA ‘BREKI’ SASA KAZI KUANZA ALHAMISI KUIWINDA MTIBWA SUGAR
PATRICK Aussems, ameshusha breki leo na kuwaacha wachezaji wake wapumzike kwa muda kabla ya kurejea kazini.Simba leo wameanza mapumziko yao…
YANGA YASHUSHA PRESHA KWA MASHABIKI, MAISHA LAZIMA YAENDELEE
MWINYI Zahera, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kupoteza kwake mchezo mbele ya Ruvu Shooting ni sehemu ya maisha ya…
DULLA MBABE AREJEA BONGO APOKELEWA KIFALME NA UBINGWA WAKE LEO
ABDALAH Panzi, maarufu kama ‘Dulla Mbabe’ leo amerejea ardhi ya Bongo na kupokelewa na umati wa mashabiki ambao walijitokeza uwanja…
BILIONI NA MAMILIONI KUMWAGWA NA GSM YANGA, ISHU YA ZAHERA KUPEWA MECHI TATU, YOTE YAPO HAPA
Dondoo za mkutano wa jana Baina ya Matawi na Mwenyekiti wa klabu Mshindo MsollaMkutano ulikua na lengo moja kuhamasisha amani…
MBASHA AANIKA HISIA ZAKE LIVE KWA FAIZA ALLY BAADA YA KULIA KISA SUGU, AMTAKA AENDE KWAKE
“Mwanamke mrembo sana huyu lakini kavimba macho kwa ajili ya kumlilia mwanaume asiyemtaka. “Dah! Faiza kwanini ung’ang’anie mtu asiyekutaka wakati sisi…
TSHISHIMBI KUFIKISHA YANGA HATUA WALIYOFIKA SIMBA CAF
Papy Tshishimbi ambaye ni nahodha wa timu ya Yanga kwa sasa ameweka msisitizo wa timu yake kufika katika rekodi ambayo…
KIUNGO YANGA AWAHAKIKISHIA WANACHAMA KUICHAKAZA ZESCO
Nahodha Mkuu wa Yanga Mkongomani, Papy Tshishimbi amesema wanajiandaa vema kuhakikisha wanashinda mchezo wa nyumbani kabla ya kurudiana nchini Zambia…
ZAHERA WALA HATISHIKI KABISA NA LWANDAMINA, MWENYEWE AFUNGUKA HAPA
Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera ametamba kwamba licha ya kwamba anakutana na kocha ambaye aliwahi kuinoa Yanga, George Lwandamina,…
UWANJA WA SIMBA BUNJU HUU HAPA
Muonekano wa Uwanja wa Simba unaozidi kujengwa huko Bunju jijini Dar es Salaam.
TAMBWE AONYA DISMAS TEN KUONDOLEWA KWENYE NAFASI YAKE, ATAJA NJIA MBADALA
Aliyekuwa mchezaji Yanga, Mrundi, Amis Tambwe, amesema kuwa kitendo cha klabu hiyo kufanya mabadiliko ya nafasi ya msemaji haina maana…
MIMI SIISHI KISTAA – VIDEO
Msaniii maarufu wa Bongo Fleva nchini, Ali Kiba, aliyekuwa miongoni wa mastaa waliohudhuria uzinduzi wa filamu mpya ya msanii Gabo…
ZAHERA AWAJIBU TFF KUHUSIANA NA KANUNI ZA MAVAZI
Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, amesema kuwa hapa duniani hakuna sheria inayomtaka kocha avae namna gani.kauli ya Zahera imekuja…
FEDHA ZA EMMANUEL OKWI ZAIBULIWA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU, KAZI IPO
Wiki jana kwenye Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu palikuwa pa moto. Fedha za mauzo ya Emmanuel Okwi kwenda Etoile du…
ZAHERA AWAPA KIBANO ZESCO UNITED – VIDEO
MWINYI ZAHERA AAMUA KUFUNGUKA JUU YA KOCHA SIMBA
Kocha mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amefunguka kuwa kocha wa Simba, Mbelgiji Patrick Aussems anampa kiburi cha juu cha kumchapa…