Trending Stories
View All
SIMBA YAMALIZANA NA KIFAA KUTOKA TP MAZEMBE, KILIWAHI KUCHEZA KOMBE LA DUNIA
Kazi ya kusajili wakali watakaohakikisha kikosi cha Mabingwa kinazidi kuwa tishio kwa wapinzani inaendelea.Mshambuliaji raia wa Congo DR, Deo Kanda…
AMUNIKE AENDELEZA DHARAU, ASISITIZA HANA CHA KULAUMIWA
Na Saleh Ally, Cairo KOCHA Mkuu wa Taifa Stars, Emmanuel Amunike ameendelea kusisitiza kwamba yeye hana cha kulaumiwa. Amunike amesema…
WAKATI UMEFIKA TUMEACHE AMUNIKE AENDE ZAKE SALAMA, TUSONGE
NA SALEH ALLY MIAKA 39 michuano ya Kombe la Mataifa Afrika maarufu kama Afcon kwetu ilikuwa ni hadithi. Safari hii…
WANACHAMA SIMBA WAANZA KUPEWA KADI MTWARA – VIDEO
HATMA YA ZAHERA NA YANGA JUU YA MKATABA MPYA HII HAPA
UONGOZI wa Klabu ya Yanga upo mbioni kumuongezea mkataba mpya kocha wake mkuu Mkongomani, Mwinyi Zahera wa kuendelea kukinoa kikosi…
JESHI KAMILI LA YANGA HILI HAPA, SALAAM ZAO WAPINZANI
YANGA ndiyo timu pekee iliyofanya usajili wa haraka na kukamilika kabla dirisha la usajili kufunguliwa rasmi jana.Dirisha hilo la usajili…
MANULA AVUNJA REKODI YA DAU USAJILI SIMBA
Kipa namba moja wa timu ya taifa, Taifa Stars na Klabu ya Simba, Aishi Manula, anatajwa kuwa mchezaji wa kwanza…
BEKI MPYA MANCHESTER UNITED AMTAJA ALIYEMPELEKA UNITED
AARON Wan- Bissaka ambaye ni beki mpya ndani ya Manchester United amesema kuwa meneja wa timu hiyo Ole Gunnar Solkjaer…
SABABU YA RUVU SHOOTING KUFANYA KLINIKI KWA WACHEZAJI YATAJWA
UONGOZI wa Ruvu Shooting umesema kuwa kwa wachezaji wote wenye vipaji na wanajua kucheza mpira ni zamu yao kujitokeza leo…
SIMBA YAIBUKA NA JINGINE KUBWA LA USAJILI WIKI HII
Alichokizungumza Ofisa Mtendaji wa Simba, Crescentius Magori kuhusiana na usajili wa timu hiyo kwa wiki hii.
KISA KITI, MISRI WATIA AIBU ZONE V UGANDA
WAKATI mchezo wa mpira wa kikapu kati ya Tanzania dhidi ya Kenya upande wa wanaume ukichezwa juzi Jumamosi kwenye Uwanja…
STARS YAPIGWA 3-0 NA ALGERIA AFCON, SASA KUPANDA NDEGE TAYARI KUREJEA NYUMBANI
Kikosi cha Taifa Stars kimekamilisha rasmi safari ya michuano ya AFCON huko Misri kwa kupokea kichapo cha mabao 3-0 dhidi…
KMC WAIWAHI MAPEMA TP MAZEMBE
KIKOSI cha timu ya KMC Alhamisi hii kinatarajia kukwea pipa kuelekea nchini Rwanda kwa ajili ya kuwawahi wapinzani wao TP…