Trending Stories
View All
MBIVU NA MBICHI ZA ZITAKAZOSHUKA NA KUPANDA TPL KUJULIKANA LEO
MBIVU na mbichi kwa timu za Ligi Kuu Bara (TPL) Kagera Sugar na Mwadui FC kubaki ama kushuka moja kwa…
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumamosi
YANGA HAWATAKI UTANI, WANAUTAKA UBINGWA WA LIGI YA MABINGWA AFRIKA
BAADA ya kupata nafasi ya kushiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga imeweka wazi lengo lao ni kutwaa ubingwa…
SINGIDA UNITED WAJA NA MTINDO MPYA WA USAJILI, WATANGAZA FURSA
UONGOZI wa Singida United umetangaza fursa kwa wachezaji wote ambao wanahitaji kujiunga na kikosi hicho kwa ajili ya msimu mpya…
KOCHA YANGA AFICHUA SIRI YA MABAO YA KINDOKI
KOCHA wa magolikipa wa kikosi cha Yanga, Juma Pondamali amesema kuwa kikubwa kilichokuwa kinamponza mlinda mlango Klaus Kindoki kushindwa kufanya…
TAIFA STARS: HAKUNA CHA KUHOFIA TUNAKWENDA KUFANYA MAAJABU
NAHODHA wa timu ya Taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta amesema kuwa wanakwenda kufanya maajabu nchini Misri kwa kuwa wanajua wanapeperusha…
AZAM FC YAMPIGA PIN NYOTA WAO MWINGINE LEO
Kipa wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Mwadini Ally, ameongeza mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kuitumikia…
MEDDIE KAGERE ABEBA TUZO YA MCHEZAJI BORA
Meddie Kagere amechaguliwa na kamati ya Tuzo iliyo chini ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutwaa tuzo ya mchezaji bora…
NDAYIRAGIJE WA KMC AMPOTEZA MBELGIJI WA SIMBA
KOCHA Mkuu wa KMC, Ettiene Ndayiragije amebeba tuzo ya kocha bora wa Ligi Kuu Bara kwa mwezi Mei.Ndayiragije ameongoza kikosi…
HAWA HAPA 11 WANATAJWA KUVAA JEZI YA SIMBA MSIMU UJAO
IMEELEZWA kuwa kikosi cha Simba kinafanya kazi ya usajili kimyakimya ambapo mpaka sasa hakijatangaza mchezaji hata mmoja ambaye amesajiliwa hata…
BARCELONA KUIPASUA MANCHESTER UNITED WAKIIKOSA SAINI YA GRIEZMANN
IMEELEZWA kuwa, Marcus Rashford atakuwa mbadala ndani ya kikosi cha Barcelona iwapo watafeli kuipata saini ya Antoine Griezmann ama Neymar Jr. Barcelona…
WACCHEZAJI WA TAIFA STARS WATAOKWEA PIPA KUELEKEA MISRI HAWA HAPA
Kikosi cha Taida Stars kinachoondoka leo kuelekea Misri kwa ajili ya michuano ya AFCON 2019Kikosi cha Taifa Stars kinachoondoka kinaundwa…
YANGA WAIPIGIA HESABU CECAFA
Wakati Simba wakiyatosa mashindano hayo, uongozi wa Yanga umethibitisha kupokea barua ya mwaliko wa kushiriki michuano hiyo mikubwa kwa ngazi…
NYOTA HAWA SABA WAPIGWA CHINI TIMU YA TAIFA YA TANZANIA
TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inatarajiwa kuanza safari leo kuelekea nchini Misri ambako itaweka kambi kwa ajili ya…
KOCHA WA KMC ANASUBIRI MASAA TU KWA SASA KUTIMKIA AZAM FC
IMEELEZWA kuwa tayari uongozi wa Azam FC umefikia hatua nzuri ya mazungumzo na kocha wa KMC, Etienne Ndayiragije kwa ajili ya kukinoa…