Trending Stories
View All
TANESCO YAMSAIDIA KIJANA ANAYEPUMUA WA MSAADA WA MASHINE YA OXYGEN
KIJANA anayeishi kwa msaada wa mashine ya Oxygen ili kumuwezesha kupumua, Bw. Hamad Awadhi amelishukuru Shirika la Umeme Nchini TANESCO…
BABA DIAMOND AFUNGUKA HARMONIZE KUSEPA ZAKE WCB
BABA wa msanii maarufu wa Bongo Fleva nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, Mzee Abdul Juma amefunguka kuhusu uamuzi wa msanii…
BURUNDI YANYIMWA NAMNA YA KUPATA MATOKEO KWA MKAPA
Jumapili hawatoki Taifa. Inyeshe mvua au liwake jua, Burundi lazima wapigwe. Ndio msisitizo wa Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta…
NIGERIA NAO WAKINUKISHA BALAA, WAWAFANYIA UMAFIA WASAUZI
Maduka ya wafanyabiashara wa Afrika Kusini nchini Nigeria yalivamiwa jana ikiwa ni hatua ya kujibu, mashambulizi ya hivi karibuni katika…
WACHEZAJI STARS WAFANYA MGOMO
Wakati wa mapumziko wachezaji wa kikosi cha Taifa Stars juzi waligoma kuingia vyumbani ili kuwavuruga kisaikolojia wenyeji katika mchezo wa…
UAMUZI KESI YA KABURU, AVEVA YAIVA
HATIMAYE kesi inayowakabili waliokuwa viongozi wa Simba, Evans Aveva na wenzake, inatolewa uamuzi Septemba 17, kama wana kesi ya kujibu…
KOCHA SIMBA ATOA ELIMU YANGA NAMA YA KUWAMALIZA ZESCO, AMTAJA YONDANI
ALIYEWAHI kuwa Kocha Mkuu wa klabu ya Simba, Muingereza, Dylan Kerr, amewashauri Yanga kuwafuatilia kwa karibu zaidi wapinzani wao Zesco…
YANGA YATUMA UJUMBE HUU KWA MASHABIKI, KAZI YAO NI MOJA TU KIMATAIFA
UONGOZI wa Yanga umewataka mashabiki kujitokeza kwa wingi Septemba14 ili kuwapa sapoti wachezaji wakipambana kwenye mchezo wa hatua ya kwanza…
NYOTA MWINGINE WA SIMBA ATIMKIA KUKIPIGA ASIA
Al Jahara Sporting Club ni nchi inayopatikana ndani ya Bara la Asia katika nchi ya Kuwaiti kwenye mji wa Jahra…
GUARDIOLA AJIUNGA GIRONA FC
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola amejiunga na klabu ya Girona ya Hispania ambayo ilishuka daraja msimu uliopita.Guardiola amejiunga na…
KOCHA STARS: WACHEZAJI SASA WAMEANZA KUIVA, TIMU KUTIA TIMU BONGO LEO
SELEMAN Matola, Kocha msaidizi wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ amesema wachezaji wameanza kucheza soka linaloeleweka wakiwa uwanjani tofauti…
HASSAN MWAKINYO AOMBA KUPIGWA TAFU NA SERIKALI
HASSAN Mwakinyo, bondia wa ngumi za kulipwa Bongo ambaye ni balozi wa kampuni ya kubashiri ya SportPesa ameiomba Serikali kuongeza…
STARS YAJIVUNIA UWANJA WA NYUMBANI, SASA KAZI YA BURUNDI KUISHIA TAIFA
MBWANA Samatta, nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ amesema kuwa anawashukuru mashabiki wa Tanzania kwa kutoa sapoti…
BEI MPYA ZA VING’AMUZI VYA DSTV, MAMBO KWA ULAINII….
Kila mtu macho kodo kwa punguzo la hadi 36% DStv Premium Sasa ni TZS 129,000/= Kutoka TZS 169,000/= DStv Compact…
AZAM FC YAPANIA KUFANYA MAKUBWA MBELE YA WAZIMBABWE
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa upo tayari kupeperusha bendera ya Taifa Kimataifa kwa kupata matokeo chanya mbele ya Triangle…
YANGA YAZIPIGIA HESABU NDEFU PESA ZA CAF
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa unajipanga kufanya vema kwenye michuano ya kimataifa inayoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrika (Caf) ili…