Trending Stories
View All
AZAM FC KUTESTI MITAMBO YAO LEO TENA MBELE YA POLISI TANZANIA
AZAM FC, leo itacheza mchezo wa kirafiki na timu ya Polisi Tanzania uwanja wa Azam Complex majira ya saa 1:00…
RASMI YANGA YAMALIZANA NA MSHAMBULIAJI MWILI JUMBA, ASAINI MWAKA MMOJA
DAVID Molinga amejiunga na Yanga kwa mkopo wa mwaka mmoja akitokea AC Lega ya Congo.Nyota huyu ambaye ni mshambuliaji ni…
SIMBA YAMWAGIWA MAMILIONI, SASA KUTOTUMIA HATA SHILINGI YA MFUKONI
CRESCENTIUS Magori, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba amesema kuwa kwa mwaka huu Simba hawatatoa hata shilingi mfukoni kununua vifaa vya…
MUSSA MBISSE MLINDA MLANGO ALIYEKUWA NA MALENGO YA KUWA PADRI KWA SASA YUPO MWADUI
MUSSA Mbisse mlinda mlango wa Mwadui FC awali hakuwa na mpango wa kuwa mchezaji bali ndoto zake ilikuwa aje kuwa…
MCHAKAMCHAKA WA AZAM FC KIMATAIFA NI MOTO
KIKOSI cha Azam FC kinaedelea na mazoezi kwa ajili ya kujiweka sawa kuelekea kwenye mchezo wao kimataifa wa kombe la…
LUKAKU AKISEPA TU UNITED HAWA HAPA KUVAA VIATU VYAKE
OLE Gunnar Solskjaer, Meneja wa Manchester United hana shaka endapo dili la Romelu Lukaku kujiunga na Juventus litatimia kwa ajili…
TFF YATAJA KILICHOINYIMA USHINDI STARS MBELE YA KENYA
WILFRED Kidao, Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) amesema kuwa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ itakwenda…
YANGA AMUENI, KINDOKI ANASTAHILI AONDOKE, SHIKALO NA WATANZANIA ITAWEZEKANA
Na Saleh Ally YANGA imeanza maandalizi ya msimu mpya ikijiandaa katika kambi yake ambayo iko mjini Morogoro kwa siku kadhaa…
MAYANJA: TUPO TAYARI KIMATAIFA
JACKSON Mayanja, Kocha Mkuu wa KMC amesema kuwa kwa sasa ni wakati wa kukijenga kikosi kwa ajili ya mchezo wao…
MJI KASORO BAHARI WAIBUKA NA KUCHOTA MAMILIONI YA SPORTPESA, NI BAADA YA ARUSHA KUTAMBA SANA
Mkazi wa Kilombero, Morogoro, Bw. Patrick Fidelis Ndwanga akikabidhiwa mfano wa hundi ya shilingi 6,835,260 baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya…
ILE ISHU KWAMBA EMMANUEL OKWI ANAREJEA SIMBA, IKIWEZEKANA MCHONGO UKO HIVI….
Mshambuliaji wa zamani wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi ambaye hivi karibuni alitangaza kuachana na klabu hiyo, kuna uwezekano mkubwa akarejea…
DK MSOLLA “AITUMBUA” KAMATI YANGA, AUNDA KAMATI MPYA YA MASHINDA, MAJINA HAYA HAPA…
Klabu ya Yanga imefanya mabadiliko na kutangaza kamati mpya ya mashindano ya klabu hiyo. Kamati hiyo itafanya kazi za usimamizi…
YANGA YATOA TAMKO KUHUSU DANTE, JUMA ABUDL
MWINYI Zahera, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa ni busara kwa uongozi wa Yanga kumalizana na wachezaji wake wote wa…
KOCHA TANZANITE: TUNAKWENDA KUPEPERUSHA BENDERA YA TAIFA AFRIKA KUSINI
BAKARI Shime, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 20 ‘Tanzanite’ amesema kuwa wanakwenda kuperusha vema…
MANCHESTER UNITED KUMKOSA BAILLY KWA MUDA WA MIEZI MITANO
OLE Gunnars Solskajer, Meneja wa Manchester United amethibitisha kuwa beki wake kisiki Erick Bailly atakuwa nje ya uwanja kwa muda…
KAMBI YA SIMBA YAVUNJWA AFRIKA KUSINI
KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems amesema kuwa kambi ya nchini Afrika Kusini imekuwa na mafanikio makubwa kwa sasa ni…