JUMA KASEJA:WACHEZAJI WENGI VIWANGO VITAPOROMOKA
JUMA Kaseja kipa mkongwe ndani ya ardhi ya Bongo anayekipiga ndani ya Klabu ya KMC amesema kuwa wachezaji wengi wameshuka viwango kutokana na kukaa...
CLATOUS CHAMA WA SIMBA AWATAJA WAARABU
KIUNGO wa Simba, Clatous Chota Chama, amesema kuwa mechi yake bora zaidi ya kimashindano katika ngazi ya klabu ni ile ya hatua ya makundi...
MSHAMBULIAJI WA SIMBA AOMBA NAMBA JUMLA YANGA
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Simba, Mrundi, Laudit Mavugo ameibuka na kusema anatamani kuona anarejea kuchezea timu kubwa tena nchini ikiwemo Yanga kwani lengo lake...
DILI LA BEKI NKANA KUTUA NDANI YA YANGA LIMEVURUGWA NA MAZAWA HUYU
DILI la beki wa kati wa Nkana Rangers raia wa nchini Kenya, Mussa Mohammed huenda lisikamilike kutua Yanga, ni baada ya timu hiyo kuwa...
DONALD NGOMA NI NGOMA NZITO NDANI YA AZAM FC
DONALD Ngoma, mshambuliaji wa Azam FC ngoma ni nzito ndani ya kikosi hicho msimu huu kutokana na kushindwa kufurukuta kikosi cha kwanza huku akipotezwa...
ZLATAN IBRAHIMOVIC AWINDWA NA MABOSI WA SWEDEN
ZLATAN Ibrahimovic staa anayekipiga ndani ya Klabu ya AC Milan amewekwa kwenye rada na Klabu ya Hammarby ya nchini Sweden ambayo inataka kumpata akimalizana...
MKE WA ICARD AKOLEZA MOTO MUMEWE KUIBUKIA ARSENAL
WANDA Nara mke wa mshambuliaji wa Paris Saint -Germain (PSG) anayecheza huko kwa mkopo akitokea Inter Milan amechochea moto wa nyota huyo kusepa ndani...
MITAMBO MIWILI YA KAZI YANGA NI BALAA, JEZI ZAO WOTE NAMBA SARE
HERITIER Makambo nyota wa zamani wa Yanga anayekipiga ndani ya Klabu ya Horoya FC anatajwa kurejea ndani ya Klabu hiyo msimu ujao.Makambo alidumu Yanga...
JONAS MKUDE RUKSA KUSEPA SIMBA, TP MAZEMBE WAITWA MEZANI
JONAS Mkude, kiungo mkabaji ndani ya Klabu ya Simba ni miongoni mwa wazawa wenye vipaji ambao kwa sasa inaelezwa kuwa yupo kwenye hesabu za...