MTIBWA SUGAR: MUHIMU KUCHUKUA TAHADHARI YA VIRUSI VYA CORONA
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa kwa sasa ni wakati wa kila mmoja kuchukua tahadhari kuhusu Virusi vya Corona kuwa janga la dunia.Akizungumza na...
KIKOSI CHA KWANZA CHA OFISA HABARI WA SIMBA AMTAJA MUUAJI WA SIMBA
HIKI hapa kikosi cha Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, amtaja muuaji wao aliyewatungua Machi 8 Uwanja wa Taifa:-1. Manula wa Simba2.Kapombe wa Simba3.Job...
MBELGIJI WA YANGA YAMKUTA HUKO, AKWAMA KUTUA BONGO MARA MBILI
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amekwama mara ya pili kurejea Bongo kutokana na Serikali kuzuia ndege kupaa ili kuzuia maambukizi ya Virusi vya...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA BETIKA LIPO MTAANI BURE KABISA
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Betika, lipo mtaani jipatie nakala yako BURE kabisa
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumatano, Kikosi cha Haji Manara ni noma
KOCHA WA YANGA AZUIWA KURUDI TANZANIA NA MFALME WA UBELGIJI
KOCHA wa Yanga, Luc Eymael alitakiwa kurudi nchini leo Jumatano, akitokea kwao Ubelgiji alipokwenda kwa ajili ya masuala yake ya kifamilia ambayo aliyamaliza tangu...
‘BARTHEZ’ – KWA SIMBA HII KILA MCHEZAJI ANAKUFUNGA
KIPA wa zamani wa Simba, Ally Mustapha ‘Barthez’ amebainisha kuwa hata nafasi ya beki wa kati anacheza freshi tu lakini akaonyesha Simba hii ni...
YANGA YA GSM YATENGA MILIONI 80 KUMNG’OA ‘HD’ MSIMBAZI..MPANGO MZIMA UKO HIVI..!!
YANGA wamekutana ijini Dar es Salaam na kukubaliana kuachana na mastaa wa Simba kwenye usajili ujao, lakini siyo Hassan Dilunga ambaye ni kipenzi cha...
SVEN AMTEGA SHEVA MSIMBAZI
KOCHA wa Simba, Sven Vanderbroeck amesisitiza kuimarika kwa mshambuliaji wake, Miraji Athuman ‘Sheva’, kutaifanya timu yake itishe zaidi kwenye eneo la mbele kwa vile...
YANGA YA GSM YAJITOSA UPYA KWA MAKAMBO WA HOROYA
YANGA wameamua kujilipua tena kwa straika wao wa zamani, Heritier Makambo anayekipiga AC Horoya ya Guinea.Awali, Horoya waligoma kumuachia Mkongomani huyo kwa madai kwamba,...