SINGIDA UNITED: TULIPASWA TUIFUNGE MABAO 5-0 POLISI TANZANIA, MAMBO BADO MAGUMU

0
RAMADHAN Nswanzurimo, Kocha Mkuu wa Singida United amesema kuwa jana Februari 29 walipaswa waifunge Polisi Tanzania mabao 5-0 ila bahati haikuwa yao kutokana na...

NCHIMBI AFICHUA ALICHOAMBIWA NA MZUNGU ILI AITUNGUE ALLIANCE

0
DITRAM Nchimbi, mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa Kocha Mkuu Luc Eymael alimwambia kuwa akatumie makosa ya wapinzani ili akaifungie timu yake mabao.Jana, Februari 29,...

WATFORD SIO WATU WAZURI, WATIBUA REKODI ZA LIVERPOOL KIBABE, YAICHAPA 3-0

0
ISMAILA Sarr alianza kupeleka maumivu kwa wababe Liverpool dakika ya 54 kabla ya kuongeza msumari mwingine dakika ya 60 na kuifanya Watford kuwa timu...

YANGA YAFUTA BUNDI LA SARE, LAICHAPA ALLIANCE MABAO 2-0 UWANJA WA TAIFA

0
TIMU ya Yanga leo imefuta bundi la sare iliyokuwa ikiwaandama kwa kushinda mbele ya Alliance FC mabao 2-0 mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa...

KOSA KUBWA LA MTIBWA SUGAR KUMBE ILIKUWA KUZITUNGUA SIMBA NA YANGA

0
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa kosa lao kubwa ilikuwa kuzifunga Simba na Yanga kwenye Kombe la Mapinduzi jambo lililowafanya wakamiwe na timu nyingine...

SIMBA YAZITAKA POINTI TATU ZA KMC

0
UONGOZI wa Simba umesema kuwa umejipanga kuona unapata matokeo mbele ya KMC kwenye mchezo wa kesho utakaochezwa Uwanja wa Taifa majira ya saa 1:00.Kocha...

SABABU YA MUDA WA MCHEZO WA LEO KUBADILISHWA HII HAPA

0
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa sababu kubwa ya muda wa mpira kubadilishwa mara kwa mara ni kutokana na timu ya Taifa ya Uganda kutaka...

NINJA, NASSORO MOHAMMED WAPATA DILI LA KUKIPIGA ULAYA, WAKWEA PIPA LEO

0
ABDALLAH Shaibu 'Ninja' ambaye ni beki na mshambuliaji kinda Nassor Mohamed aliyekuwa anakipiga Mtibwa B wamepata dili la kusepa kuelekea nchini Serbia kukipiga soka...

HIZI HAPA 16 ZITAKUWA VITANI KUSAKA POINTI TATU MUHIMU

0
LIGI Kuu Tanzania Bara kuendelea leo kuchanja mbunga kwa timu 16 kuwa uwanjani kuzisaka pointi tatu muhimu.Hizi hapa zitakutana leo, mechi zote zitapigwa saa...
Habari za Michezo leo

UJUMBE HUU WA ALLIANCE WATUMWA YANGA

0
FELIX Minziro, Kocha Mkuu wa Alliance amesema kuwa wanatambua wana kazi ngumu ya kufanya leo mbele ya Yanga ila wapo tayari hawana hofu.Alliance itakaribishwa...