RUVU SHOOTING NI BALAA, WAPANIA KUUPIGA MBELE YA POLISI TANZANIA KAMA BARCELONA

0
MASAU Bwire, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting amesema kuwa watawafudisha soka wapinzani wao Polisi Tanzania kwenye mchezo wao wa Lgi Kuu Bara utakaochezwa kesho...

UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA, ISHU YA ZAHERA KURUDI YANGA NDANI

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Ijumaa

KINACHOWAKOSESHA NGUVU KIPINDI CHA PILI WACHEZAJI WA NAMUNGO HIKI HAPA, DAWA YA AZAM YAANDALIWA

0
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo FC amesema kuwa wachezaji wake wanacheza kwa kasi kipindi cha kwanza na kushindwa kumudu kipindi cha pili kutokana...

YANGA WAJIPA MATUMAINI YA KUREJEA KWENYE UBORA WAO TENA

0
NAHODHA wa Yanga, Papy Tshishimbi amesema kuwa bado wana nafasi ya kurekebisha makosa yao waliyoyafanya ndani ya Ligi Kuu Bara kwa kupata sare tatu...

MZUNGU WA SIMBA ATAKA MABAO MENGI KWA WASHAMBULIAJI WAKE KUPATA POINTI TATU

0
Kocha Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck amesema kuwa kuwa safu ya ushambuliaji inayoongozwa na Meddie Kagere na John Bocco kazi yao kubwa ni kufunga...

KOCHA COASTAL UNION AJIBEBESHA MZIGO MZITO

0
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Coastal Union amesema kuwa kichapo cha mabao 2-1 mbele ya Ruvu Shooting kinamhusu yeye kwa kuwa ni kiongozi kwenye...

SIMBA YAINGIA KWENYE MTIHANI MZITO WA BIASHARA BONGO

0
BAADA ya Simba kuibuka na pointi sita jumla mbele ya Kagera Sugar hesabu zao kwa sasa ni mbele ya Biashara United ya Mara.Simba ilishinda...

MASAU BWIRE HANA DOGO AWAPIGA MKWARA HUU POLISI TANZANIA

0
OFISA Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire amesema kuwa wamejipanga kuacha alama nzuri kwa Polisi Tanzania itakayowafanya waikumbuke timu yao msimu mzima kwa kuchukua...

MZUNGU WA YANGA KUKUTANA NA KIGINGI HIKI NDANI YA LIGI KUU BARA

0
KOCHA wa Yanga, Luc Eymael anakibarua kizito cha kumenyana na Coastal Union, Februari 23 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Mkwakwani.Eymael...

BAADA YA KUIBANA YANGA, POLISI TANZANIA YATAJA KINACHOWABEBA

0
MALALE Hamsini, Kocha Mkuu wa Polisi Tanzania aliyetoka kuwabana Yanga kwa kugawana pointi mojamoja Uwanja wa Ushirika amesema kuwa uwezo wa vijana wake uwanjani...