HILI HAPA JESHI LA SIMBA LITAKALOANZA LEO DHIDI YA YAGA UWANJA WA TAIFA
HIKI hapa kikosi cha Simba kitakachoanza leo dhidi ya Yanga Uwanja wa Taifa, kwa mujibu wa Gazeti la CHAMPIONI Jumatano na sabau zimetajwa namna...
HIKI HAPA KIKOSI CHA MAUAJI CHA YANGA KITAKACHOANZA DHIDI YA SIMBA LEO TAIFA
KIKOSI cha Yanga kinachotarajiwa kuanza leo dhidi ya Simba, leo Machi 8, Uwanja wa Taifa kwa mujibu wa CHAMPIONI Jumatano na sababu zake zatajwa:-Kipa:...
PACHA HIZI ZINASUBIRIWA KWA HAMU LEO KUJIBU TAIFA
LEO uwanja wa Taifa, mashabiki wa Yanga watakuwa uwanjani huku wakiwa wamebeba matumaini makubwa kwa nyota wao ambao wanazidi kupambana wakiwa ndani ya uwanja.Yanga...
YANGA YATUMA UJUMBE MZITO KWA SIMBA
JUMA Abdul, nahodha msaidizi wa Yanga amesema kuwa wapinzani wao wasifikirie kupata njia ya kutokea kwenye mechi yao ya watani itakayochezwa Machi,8 Uwanja wa...
MZUNGU WA YANGA AWABADILISHIA MBINU WAPINZANI WAKE ADAI WACHEZAJI WAKE WAMECHOKA
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wachezaji wake wanachoka kwa kucheza mechi nyingi mfululizo jambo ambalo analifanya ni kuwapumzisha baadhi ya wachezaji...
DE BRUYNE WA MANCHESTER CITY HATIHATI KUKOSA MANCHESTER UNITED
PEP Guardiola, Kocha Mkuu wa Manchester City ametoa tamko ambalo linaonyesha dalili kuwa kuna uwezekano mdogo wa nyota wake Kevin De Bruyne kuanza mechi...
FLOYD MYWEAATHER ATAKA KUMFUNDISHA NGUMI WILDER AKAMNYOOSHE FURY
BONDIA mstaafu wa ngumi, Floyd Myweather amesema kuwa Deontay Wilder anaweza kumpiga Tyson Fury katika pambano lao la marudiano iwapo atakubali kufundishwa naye kuelekea...
HESABU ZA SIMBA KWA YANGA ZIPO NAMNA HII KESHO
PASCAL Wawa beki wa Simba amesema kuwa wanapiga hesabu kubwa kuona namna gani watashinda mchezo wao mbele ya Yanga utakaochezwa Machi 8,2020, kesho Jumapili...
MTIBWA SUGAR: TUNAZITAKA POINTI TATU ZA KAGERA SUGAR
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa leo utambana mbele ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Gairo, Morogoro.Akizungumza na...
HAPA NDIPO YANGA ILIPOIPOTEZA SIMBA JUMLAJUMLA
KWENYE misimu 11 ya hivi karibuni ambapo Yanga na Simba wamekutana Yanga inashikilia rekodi ya kupindua meza kibabe. mechi 23 walizokutana Yanga imeshinda mechi sita,...