COASTAL UNION YABANWA MBAVU NA RUVU SHOOTING USIKU
MUDHATHIR Said alipachika bao la kuongoza mbele ya Coastal Union dakika ya 50 akiwa ndani ya 18 halikuwazuia Ruvu Shooting kupindua meza kibabe.Coastal Union,...
VPL: SIMBA 0-0 KAGERA SUGAR
Kipindi cha Kwanza: Simba 0-0 Kagera SugarUwanja wa TaifaMchezo wa Ligi Kuu Bara Uwanja wa Taifa ni kati ya Simba na Kagera Sugar.Kwa sasa...
JESHI LA KAGERA SUGAR DHIDI YA SIMBA
JESHI la Kagera Sugar litakaloanza dhidi ya Simba Uwanja wa Taifa
MATOKEO YA MECHI ZA LIGI KUU BARA, YANGA YABANWA, SINGIDA UNITED HALI TETE
FT: JKT Tanzania 0-0 Biashara United.FT: Polisi Tanzania 1-1 Yanga SC (Sixtus 71’ : Tariq 41’)...FT: Namungo FC 2-1 KMC FC (Bigirimana Blaise 12’,...
KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA KAGERA SUGAR
HIKI hapa kikosi cha Simba kitakachoanza leo dhidi ya Kagera Sugar Uwanja wa Taifa
MTIBWA SUGAR YAIPANIA TANZANIA PRISONS
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa unajipanga kwa ajili ya mchezo wao utakaopigwa kesho, Februari, 19 Uwanja wa Jamhuri, Dodoma dhidi ya Tanzania Prisons.Mtibwa...
VPL:POLISI TANZANIA 0-0 YANGA
Kipindi cha kwanza:-Polisi Tanzania 0-0 YangaUwanja wa Ushirika,MoshiDakika ya 05 faulo wanapiga Polisi TanzaniaDakika ya 03 Yanga walipiga kona haikuzaa matunda.Dakika ya 02 Tariq...
KAMATI YA UTENDAJI TFF MEPITISHA MAJINA HAYA YA WAAMUZI
KAMATI ya waamuzi imefanyiwa mabadiliko namna hii na Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)
KIKOSI KAZI CHA POLISI TANZANIA LEO DHIDI YA YANGA, UWANJA WA USHIRIKA
HIKI hapa kikosi kazi cha Polisi Tanzania kitakachoanza leo Uwanja wa Ushirika dhidi ya Yanga
JESHI LA YANGA LITAKALOANZA LEO DHIDI YA POLISI TANZANIA
KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo dhidi ya Polisi Tanzania Uwanja wa Ushirika, Moshi.