KAGERE ALETA HOFU SIMBA, STRAIKA MPYA KUTANGAZWA
Wakihesabu saa kabla ya usajili wa dirisha dogo kufungwa hapo jana, inaelezwa viongozi wa Simba wapo kwenye mipango kabambe ya kuhakikisha wanasajili straika mwingine...
YANGA WAAMUA KUIIGA SIMBA, HIKI NDICHO WADHAMIRIA KUFANYA JUU YA CEO
Kampuni ya GSM imepanga kuiendesha Klabu ya Yanga kisasa kwa kuleta Mtendaji Mkuu (C.E.O), mpya wa timu hiyo atakayeifanya kuwa ya kisasa ili kufikia...
KAGERA SUGAR YAMKAZIA MBELGIJI WA YANGA, YAMTANDIKA BAO 3-0
YUSUPH Mhilu mshambuliaji wa Kagera Sugar leo amekiongoza kikosi chake kuingamiza Yanga kwa mabao 3-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa leo, Januari,15,...
LIGI KUU BARA: YANGA 0-1 KAGERA SUGAR
Kagera Sugar wanatangulia kupata bao la kwanza dakika ya 13 kupitia kwa Yusuph Mhilu baada ya beki wa Yanga kujichanganya kuokoa hatariUWANJA wa Uhuru...
KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA KAGERA SUGAR
KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo dhidi ya Kagera Sugar, Januari 15,2020, Uwanja wa Uhuru
MTIBWA SUGAR MNASTAHILI PONGEZI KWA KUTWAA TAJI LA MAPINDUZI 2020, WAZAWA WAMEONYESHA UKOMAVU
MICHUANO ya Kombe la Mapinduzi kwa mwaka 2020 safari yake ilihitimishwa rasmi, Januari 13, Jumatatu wiki hii ambapo mchezo wa fainali ulipigwa kati ya...
KAGERA SUGAR: MASHABIKI NJOONI MUONE BURUDANI MBELE YA YANGA
MECKY Maxime, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar hajawa na matokeo mazuri kwenye mechi zake za Ligi Kuu Bara ndani ya mwaka mpya 2020 kwa...
JAMES KOTEI AZUNGUMZIA ISHU YAKE NA YANGA, KILICHOMKUTA KAIZER CHIEFS ACHA KABISA
KIUNGO bora ndani ya klabu ya Simba msimu wa mwaka 2018/19 James Kotei ambaye alitimkia Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini amekubaliana kuvunja mkataba na...
AZAM FC KAZINI TENA EO MBELE YA LIPULI, TAIFA
ARSTICA Cioaba, Kocha Mkuu wa Azam FC leo ana kazi nzito mbele ya Lipuli FC kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Lipuli utakaochezwa Uwanja...
MBELGIJI WA YANGA KUTESTI MITAMBO LEO MBELE YA KAGERA SUGAR, TAMBO ZATAWALA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael na msaidizi wake Riedoh Berdien ambao wamepewa kandarasi ya mkataba wa mwaka mmoja na nusu leo watakuwa na...