GENK KESHO KBARUANI TENA, HIZI HAPA TIMU AMBAZO ZIMEACHIWA MAUMIVU NA SAMATTA
MBWANA Samatta anayekipiga KRC Genk ya Ubelgij kesho timu yake itakuwa na kazi ya kufanya mbele ya wapinzani wao Club Brugge. Ligi yao imezidi kupamba moto...
STRAIKA YANGA AMWAGIA SIFA KIBAO FALCAO
Amis Tambwe, juzi Jumatano alikuwa mbele ya runinga akiangalia mechi kati ya Yanga na Ruvu Shooting na ilivyoisha tu akaliambia Championi Jumamosi kuwa, David...
YONDANI AVUNJA UKIMYA, AAMUA KUFUNGUKA JUU YA KIWANGO CHA MGHANA
Beki mkongwe wa Yanga, Kelvin Yondani amekubali kiwango cha Mghana, Lamine Moro huku akipata matumaini ya kufanya vizuri kwenye msimu huu kutokana na ubora...
AJIBU AMRAHISISHIA KAZI KAGERE
Ibrahim Ajibu, nyota wa Simba aliyejiunga msimu huu akitokea Yanga ameweka wazi kuwa amejipanga kutoa asisti zaidi ya 17 alizotoa akiwa Yanga msimu uliopita...
RATIBA YA MECHI TANO ZA KIBABE KWA YANGA HIZI HAPA. WATAPONA?
Ratiba ya mechi tano za Yanga zijazo katika Ligi ya Mabingwa Afrika na Ligi Kuu AfrikaSeptember 14 (Dar)Yanga SC vs Zesco United.Caf Champions LeagueSeptember...
DULLA MBABE AENDELEA UBABE WAKE AMNYOOSHA MCHINA, JUMATATU KUREJEA BONGO
BONDIA Mtanzania Abdallah Pazi, maarufu kama Dulla Mbabe, amemtwanga Mchina, Zulipikaer Maimaitiali kwa TKO katika raundi ya tatu.Pambano hilo la ubingwa wa WBO Asian...
KELVIN YONDANI AHUSISHWA SIMBA
Kocha wa Uganda aliyewahi kutamba na Simba, Jackson Mayanja anaamini kama Kelvin Yondani angekuwa kwenye ukuta wa timu hiyo asingekubali kudhalilishwa ndani ya Uwanja...
ZAHERA ATAJA IDADI YA SUTI ANAZOMILIKI
Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa ana suti zaidi ya pea 100 kabatini ambazo ataanza kutupia kila anapokuwa kwenye benchi la ufundi...
KOCHA SIMBA AJA NA MALENGO MENGINE YA KITOFAUTI MSIMU HUU
Kocha wa Simba, Patrick Aussems amesema ili aweze kutetea kibarua chake ndani ya kikosi hicho amepanga kutwaa mataji manne ambayo yatapoza hasira za mabosi...
MOHAMMED DEWJI ‘MO; AJA NA TAMKO ZITO KUHUSIANA NA SIMBA
Baada ya kukaa kimya tangu Simba iondolewe kunako Ligi ya Mabingwa Afrika na UD Songo, Mwekezaji Mkuu wa klabu hiy, Mohammed Dewji 'Mo', ameandika...