MCHEZAJI SIMBA AELEKEA MOROCCO
Mshambuliaji wa zamani wa Simba SC na Napsa Stars ya Zambia, Laudit Mavugo amejiunga na klabu ya Difaa El Jadida ya Morocco anayocheza Mshambuliaji...
MWAMUZI HUYU NA TABIA ZAKE, ANANIPA HOFU YA LIGI KUU BARA ITAKAVYOKWENDA
MKURUGENZI TPLB, BONIFACE WAMBURANA SALEH ALLYNIKO katika Kundi la Mtandao wa Whatsapp ambalo linajumuisha wadau wengi sana wa mchezo wa soka.Wadau kwa maana ya...
RUBY AFUNGUKA KUACHANA NA MZAZI MWENZAKE
Kuachwa au kuacha kusikie kwa wengine, usiombe yakukute! Hayo ni maneno ya mwanamuziki wa kike wa Bongo Fleva, Hellen George ‘Ruby’ ambaye juzikati zilisambaa...
STRAIKA MAN UNITED ATUA INTER MILAN
Hatimaye Alexis Sanchez ametua jijini Milan kukamilisha dili la kujiunga na Inter Milan kwa mkopo akitokea Manchester United.Sanchez ametua jijini hapo baada ya kudumu...
HABARI NJEMA!! DUDUBAYA AOKOKA, AFANYIWA MAOMBI YA KUFA MTU
Msanii nguli wa Bongo Fleva, Godfrey Tumaini, maarufu kama Dudubaya ama Konki Master, ameamua kuokoka na kumrudia Mungu, jambo ambalo liimewaacha mdomo wazi watu...
MANE, SALAH KUCHEZA NA SAMATTA
Mshambuliaji Mtanzania, Mbwana Samatta anayechezea Genk atakuwa na nafasi ya kucheza dhidi ya Liverpool ya England katika Hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa...
HATUA YA USAJILI WA NEYMAR KWENDA BARCELONA ILIPOFIKIA
Katika kile kinachoonekana ni kama kuwa wagumu kibiashara, Klabu ya Paris Saint-Germain ya Ufaransa imeendelea kumuwekea ngumu staa wao Neymar kuondoka baada ya kukataa...
SUALA LA OKWI LAIBUKA UPYA SIMBA, KIGOGO AFUNGUKA JUU MATUMIZI YA FEDHA ZAKE
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba na shahidi namba nane katika kesi inayowakabili waliokuwa viongozi Simba, Kassim Dewji ameieleza mahakama jinsi walivyopanga matumizi...
WALIOOA FC WACHEKELEA SAPOTI YA SALEH JEMBE
NAHODHA wa timu ya Waliooa FC wa Kampuni ya Global Group Publisher, Philip Nkini amechekelea udhamini wa nguvu kutoka kwa Saleh Jembe.Waliooa FC wanatarajia...
RONALDO AWAPAISHA JUVENTUS INSTAGRAM
Mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno na Klabu ya Juventus ya Italia, Cristiano Ronaldo, amekuwa kivutio kwa timu yake huku akiiongezea wafuasi milioni 20 Instagram...