MHALIFU ALIYEWAPIGA WANAHABARI MIKWARA, AIBUKA NA NYINGINE KALI MAHAKAMANI LEO
Hamis Luwongo anayetuhumiwa kumuua na kumchoma moto mkewe, Naomi Marijani amezua kioja kingine Mahakamani Kisutu baada ya kuiomba mahakama impatie simu zake mbili, atoe...
DAR ES SALAAM CORRIDOR GROUP KUMUONA MO SALAH LIVE ANFIELD
DAR ES SALAAM Corridor Group, mabingwa wapya wa Kombe la Standard Chartered Bank msimu wa mwaka 2019/20 wamepata fursa ya kufanya utalii nchini England...
MO AZUIA TENA PRESS YA HAJI MANARA SIMBA
Inaelezwa kuwa Mwekezaji wa Simba, Mohammed Dewji 'Mo' amezuia tena kikao alichotakiwa kukifanya Msemaji wa klabu hiyo, Haji Manara.Hii itakuwa mara ya pili sasa...
TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA LEO JUMANNE YA AGOSTI 27 2018
Huenda Manchester United ikasubiri ukaguzi wa mchezaji wa kiungo cha mbele raia wa Ufaransa Anthony Martial, mwenye umri wa miaka 23, kabla ya kuruhusu...
AJIBU AFUNGUKA NAMNA REKODI ZA YANGA ZINAVYOMTESA
Kiungo mpya wa Simba, Ibrahim Ajibu ambaye amejiunga na kikosi hicho akitokea Yanga kwa kandarasi ya miaka miwili, anateswa na rekodi yake aliyoiweka msimu...
AGGREY MORRIS AMPA KIBURI HIKI KOCHA AZAM
Kocha Mkuu wa Azam FC, Ettiene Ndayiragije ameingia kiburi cha kufanya vizuri kwenye michezo yao ya Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho Afrika...
KMC YAPANIA KUSEPA NA POINTI TATU ZA AZAM FC LEO UHURU
NAHODHA wa timu ya KMC, Juma Kaseja amesema kuwa leo wanaanza kazi vema kwenye mchezo wao wa kwanza wa Ligi Kuu Bara ambayo inadhaminiwa...
ZAHERA AWAKATAA ZESCO UNITED
Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, amekataa kuwazungumzia Zesco United hivi sasa na badala yake akili yake inafikira mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi...
HAJI MANARA AIBUKA NA JIPYA SIMBA, AMTAJA BALINYA YANGA, UNAWEZA UKACHEKA – VIDEO
Ofisa Habari wa klabu ya Simba, amewataka mashabiki wa klabu za Simba na Yanga, kuitangaza vyema kampuni ya ubashiri ya SportPesa kwani ndiyo kampuni...
JULIO: WABRAZIL SIMBA WAMEKUJA KUTALII
Aliyewahi kuwa mchezaji wa Simba, Jamhuri Kihwelo 'Julio' amesema kuwa kikosi cha timu hiyo juzi kiliingia kucheza na UD Songo wakiwa na matokeo ya...