Cech arejea Chelsea bila ya ‘Helmet’ yake!

0
Mlinda mlango wa zamani wa Timu ya Taifa ya Czech, Peter Cech amerejea tena katika viunga vya jiji la London karibu kabisa...

MISRI YAANZA AFCON NA USHINDI MWEMBAMBA DHIDI YA ZIMBABWE

0
TREZEGUET AKIWA NA SALAHWenyeji wa michuano ya Afcon, Misri wameanza michuano hiyo kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Zimbabwe.Mechi hiyo ya ufunguzi wa...

MUONEKANO WA GAZETI LA CHAMPIONI LEO JUMAMOSI NI BAB KUBWA AISEE, PATA NAKALA YAKO...

0
Ukurasa wa mbele wa gazeti la Championi leo Jumamosi

SIMBA YAZIFIKIRIA WAYDAD CASSABLANCA, MAZEMBE NA ESPERANCE, YANGA YAENGULIWA

0
Baada ya kupata saini ya Mbrazil Wilker Henrique da Silva, Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa kwa sasa wanazifikiria klabu kubwa kama...

NYIMBO MAALUM ALIYOIMBIWA HAJI MANARA NA YANGA KISA KUOMBA KIWANJA HII HAPA – VIDEO

0
Nyimbo maalum aliyoimbiwa Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, na mashabiki wa Yanga kufuatia kitendo chake cha kuomba klabu yake ipewe uwanja.

NI VITA!! USAJILI MWINGINE UTAKAOSIMAMISHA NCHI SIMBA HUU HAPA – VIDEO

0
Simba ipo kwenye mipango ya kukamilisha taratibu za kumsajili mshambuliaji mzambia wa Orlando Pirates ya nchini afrika kusini, Justin Shonga.Timu hiyo imepanga kufanya usajili...

NAMNA HAJI MANARA ALIVYOWAONEA GERE YANGA KISA ENEO – VIDEO

0
Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, Jumamosi iliyopita kutangaza kuipa Yanga uwanja maeneo ya Kigamboni jijini Dar. Makonda alitoa ahadi hiyo katika hafla ya...

SERIKALI YATOA MASHARTI JUU YA ENEO WALILOPEWA YANGA KIGAMBONI

0
Baada ya kuwapa Yanga eneo la kujenga Uwanja, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ametoa maagizo ya kuhakikisha kuwa uwanja huo...

MAKONDA ABEZWA JUU YA KUWAPA YANGA KIWANJA – VIDEO

0
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema alibezwa na baadhi ya watu alipotangaza kuipa Yanga eneo.“Wapo waliosema nawapa eneo la Manji...

SIMBA YATOA DOZI JIJINI MWANZA, YAITANDIKA GWAMBINA 4-2

0
Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 4-2 yaliyopatikana kwa njia ya penati dhidi ya Gwambina FC jijini Mwanza.Ushindi huo umepatikana kufuatia dakika 90...