STARS YAPEWA RAI YA KUCHUKUA KIKOMBE MISRI, LAZIMA IFUATWE
AKILI na mawazo ya mashabiki wengi wa soka hapa nchini vyote vimehamia nchini Misri ambako michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (Afcon) inatarajiwa kuanza...
KISA HEKARI 15 KWA TAIFA STARS, MAKONDA ATOA ONYO KALI KWA ‘WANAOHOJIHOJI’ – VIDEO
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ameahidi kutoa eneo la hekari 15 kwa shirikisho la soka nchini (TFF) kwa ajili ya...
KIUNGO MBAO AWAKATAA YANGA MCHANA KWEUPEE!! – VIDEO
KIPINDI cha Spoti Hausi kimeendelea tena hewani ambapo wachambuzi wako wamekuletea mambo mengi, lakini kubwa ni uchambuzi wa kiungo wa Mbao aliyetajwa kuletwa Dar...
MANARA: STARS HAIWEZI KUCHUKUA UBINGWA – VIDEO
Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya ushindi wa Taifa Stars amesema kuwa Watanzania tuisapoti Timu yetu...
ROSTAM APINGA YANGA KUMILIKIWA NA MTU MMOJA, ASISITIZA LUHUSU SUALA LA UDHAMINI SI UFADHILI
Mwanachama na shabiki maarufu wa klabu ya Yanga, Rostam Aziz leo ametokea hadharani na kusema kswamba haungi mkono klabu yake kumilikiwa na mtu mmoja.Rostam...
MGUNDA WA COASTAL UNION ATAJA IDADI YA WACHEZAJI ATAKAOWASAJILI
KOCHA wa timu ya Coastal Union, Juma Mgunda amesema kuwa kwa sasa kikosi chake kinahitaji kusajili wachezaji sita ambao wataongeza nguvu ndani ya kikosi...
YANGA WAIRAHISISHIA SIMBA KAZI KWA AJIBU, ARUHUSIWA KUONDOKA – VIDEO
MAKAMU Mwenyekiti wa Yanga, Fredrick Mwakalebela, leo Juni 20, 2019, akiongea na wanahabari makao makuu ya klabu hiyo, ametoa kauli kuhusu mchezaji Ibrahimu Ajibu,...