TAIFA STARS KAZINI LEO MISRI. KUWAVAA ZIMBABWE
Leo timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' itaingia uwanjani katika mchezo wa pili wa majaribio dhidi ya Zimbabwe, mchezo utakaopigwa katika uwanja wa...
YANGA WAMCHUNIA BOBAN, MENEJA WAKE AFUNGUKA
WAKATI uongozi wa Yanga ukiwa kimya kwa baadhi ya nyota wake imebainika kuwa hata kiungo mkongwe wa timu hiyo, Haruna Moshi ‘Bobani’ bado hajapigiwa...
Amunike kujaribu wengine leo
Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” leo inashuka dimbani kucheza mchezo wa pili wa Kirafiki dhidi ya Zimbabwe.Mchezo huo utakaochezwa saa...
WATATU WAPIGWA ‘PINI’ KMC
UONGOZI wa timu ya Manispaa ya Kinondoni, KMC umeamua kuendelea kuwapiga pini nyota wao wanaowahitaji ambapo leo tena wamemuongezea kandarasi mchezaji wao Cliff Buyoya.Ofisa...
POGBA ATAKA KUSEPA MANCHESTER UNITED MAZIMA
PAUL Pogba, kiungo mshambuliaji wa Manchester United amesema kuwa itakuwa habari njema kwake kuondoka ndani ya kikosi hicho ili kupata changamoto mpya mbali na...
BEKI SIMBA AMWAGIWA MSHAHARA MILIONI 4 KWA DAU LA USAJILI MILIONI 80
MODewji hataki kuona mchezaji ambaye bado anahitajika na Kocha Patrick Aussems pale Simba anaondoka ndiyo maana amevunja benki na kumpa nahodha msaidizi, Mohammed Hussein...
MBALI NA BOCCO, POLOKWANE WAMTAKA MWINGINE SIMBA
KLABU ya Polokwane ya Afrika Kusini imekubali yaishe kwa mshambuliaji wa Simba, John Bocco na kumuomba kwa mkopo Adam Salamba aende kukipiga nchini huko.Hiyo,...
KIBABAGE WA MTIBWA SUGAR AMFUATA SIMON MSUVA DIFAA HASSANI EL JADIDA
UONGOZI wa timu ya Mtibwa Sugar umesema kuwa mchezaji wao Nickson Clement Kibabage anataraji kujiunga na Difaa Hassani El Jadida msimu ujao 2019/2020.Kibabage ameingia...