KIKOSI KAMILI CHA KMC MSIMU WA 2019/20

0
KIKOSI cha timu ya Manispaa ya Kinondoni 'KMC' kilicho chini ya Kocha Mkuu, Jackson Mayanja msimu wa mwaka 2019/20 hiki hapa

KOCHA YANGA KUBADILI MAZIMA UTUPIAJI WAKE, SASA KUVAA KIBINGWABINGWA

0
MWINYI Zahera, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa msimu ujao atakuwa anatupia pamba kali zaidi ya msimu uliopita.Zahera msimu uliopita alikuwa anapenda kuvaa tisheti...

BUNJU KUMENOGA, DR.MWAKYEMBE, MO WAFANYA UKAGUZI

0
WAZIRI wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe amewasili uwanja wa Bunju leo kwa ajili ajili ya kuweka jiwe la msingi.Mwakyembe ameongozana...

RC: PAUL MAKONDA AWAPA TANO YANGA, ATAJA KITAKACHOUKUZA MPIRA WA BONGO

0
PAUL Makonda, Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, amesema kuwa yeye ni kwa haua ambayo Yanga wameanza kwa sasa ni hatua kubwa na...

PSG YAMKOA NEYMAR JR, YAGOMA KUTOA KWENDA BARCELONA

0
UONGOZI wa Paris Saint Germain  (PSG) inaaminika kuwa upo tayari kumuuza nyota wao raia wa Brazil, Neymar Jr lakini sio kwa kuwauzia Barcelona.Neymar aliwaambia...

UWANJA WA SIMBA KUWEKWA JIWE LA MSINGI LEO NA WAZIRI MWAKYEMBE

0
WAZIRI wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Harrison Mwakyembe leo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye uwekaji jiwe la msingi uwanja wa Bunju.Hafla hiyo inatarajiwa...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumatatu

KOCHA TANZANITE AWAPA PONGEZI WACHEZAJI WAKE

0
BAKARI Shime, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 20, 'Tanzanite' amesema kuwa wachezaji wake wanapaswa pongezi kwa kupambana.Tanzanite imetinga...

SIMBA: TUPO FITI KUMENYANA NA POWER DYNAMO

0
UONGOZI wa Simba umesema kuwa kuelekea kwenye SportPesa Simba Wiki wamejipanga kufanya makubwa msimu ujao na wataanza kufanya hivyo kesho kwenye mchezo wa kirafiki...

YANGA YAPANIA KUFANYA MAAJABU MAKUBWA MSIMU UJAO

0
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa matatizo ya kikosi chake kwa sasa ni madogo na atayafanyia kazi.Zahera amesema kuwa kwa sasa anakisuka...