SPORTIPESA SIMBA WIKI YAENDELEA LEO NAMNA HII

0
KLABU ya Simba leo imetembelea hospital ya Ocean Road na kuwajulia hali wagonjwa pamoja na kuwapa mahitaji maalumu.Huu ni mwendelezo wa Simba kuelekea SportPesa...

DAU LA SAMATTA NOMA, GENK WAZIDI KUMKOMALIA KINOMA

0
UONGOZI wa klabu ya KRC Genk umeamua kuongeza tena dau kwa timu zinazomtaka mshambuliaji wake, Mtanzania Mbwana Samatta kutoka shilingi bilioni 40 hadi kufikia...

KICHUYA: NINARUDI BONGO KUCHEZA HAKUNA TAABU

0
SHIZA Kichuya ameweka wazi kwamba baada ya muda wake kumalizika ndani ya klabu ya ENNPI ya Misri kwa sasa anatamani kuondoka nchini humo huku...

HAJI MANARA ATANGAZA KUBWAGA MANYANGA NDANI YA SIMBA

0
IMEELEZWA kuwa Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa anampango wa kuachia ngazi ya uongozi ndani ya Simba.Kwa sasa nafasi ya Ofisa Habari...

HIZI NDIZO SABABU ZA KINDOKI KUPIGWA CHINI YANGA, MWILI JUMBA ATAJWA

0
MWINYI Zahera, Kocha Mkuu wa Yanga amethibitisha kuwa ameliondoa jina la kipa wake, Klaus Kindoki katika usajili wao na kumpeleka kwa mkopo Lupopo FC...

YANGA WAENDELEA NA SPOTIPESA WIKI YA MWANANCHI

0
MASHABIKI wa Yanga wa mkaoni Njombe wamendelea na wiki ya SportiPesaWikiYaMwanachi kwa kufanya shughuli mbalimbali za kijamii.Licha ya baridi kali ya mkoani Njombe, haikuweza...

KIKOSI CHA MAUAJI CHA MBAO FC MSIMU WA 2019/20

0
KIKOSI kazi cha Mbao FC msimu wa 2019/20 kipo namna hii:-

KUMUONA SIBOMANA, JUMA BALINYA NI BUKU TANO TU TAIFA

0
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa kuelekea siku ya kilele cha Mwananchi Agosti 4 mambo yamekamilika kwa asilimia kubwa ni suala la mashabiki kujitokeza kwa...

MBAPPE AMKOMALIA NEYMAR AMTAKA ABAKI PSG

0
MSHAMBULIAJI wa kikosi cha Paris Saint Germain (PSG), Kylian Mbappe amesema kuwa anataka kumuona mchezaji mwenzake Neymar Jr anabaki ndani ya kikosi hicho.Nyota huyo...

MESSI ASIMAMISHWA KUSHIRIKI MICHUANO YA KIMATAIFA MIEZI MITATU

0
LIONEL Messi, nahodha wa timu ya Taifa ya Argentina amesimamishwa kutoshiriki michuano ya kimataifa Kwa muda wa miezi mitatu.Hatua hiyo imefikia baada ya Messi...