Trending Stories
View All
CHRISTIANO RONALDO, NAHODHA MWENYE NAMBA ZAKE MBELE YA BRUNO
MANCHESTER, ENGLAND. CRISTIANO Ronaldo (CR7) na Bruno Fernandes ni mastaa wa soka, mashujaa wa Ureno na nyota waliocheza pamoja Manchester…
JIMENEZ SHUJAA WA MEXICO ALIYENUSURIKA KIFO UWANJANI
Huenda Dunia isingemshuhudia mshambuliaji wa Mexico, Raul Jimenez akifunga bao la pili jana dhidi ya Afrika Kusini katika mechi ya…
AIBU FIFA KOMBE LA DUNIA VITI VINGI VIKO WAZI
Mexico City, Mexico. IDADI kubwa ya viti visivyo na watu ilionekana wakati Korea Kusini ilipogeuza matokeo na kuifunga Czech katika mechi…
BARA LIPI LEO KUANZA NA USHINDI…?
Leo hii tena tutaenda kushuhudia mechi zingine mbili kwenye michuano hii Mikubwa Duniani. Kila timu inataka kupambana kwa hali na…
PENZI LA ZARI, SHAKIB LAFIKIA MWISHO, WAACHANA
Mwanamuziki na mfanyabiashara maarufu kutoka Uganda, Zarinah Hassan maarufu kama ‘Zari The Boss Lady’ na mumewe wa muda mrefu Shabiki…
CHIPO, MAYANGA KAZI IPO SOKOINE
Pamoja na kukiri ugumu wa mechi za ugenini, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar, Yusuph Chipo amesema mchezo dhidi ya Mbeya…
FADLU APEWA MKONO WA KWAHERI RAJA CASABLANCA
Raja Casablanca imetangaza kuachana rasmi na Kocha wa zamani wa Simba, Fadlu Davids usiku wa kuamkia leo, Juni 12, 2026.…
CHUKWU MLANGO WA KUTOKEA SINGIDA BS
SINGIDA Black Stars inaweza kuingia sokoni kutafuta mbadala wa kiungo wake tegemeo, Morice Chukwu, baada ya nyota huyo kuweka wazi…
SERIKALI YAPANIA MAKUBWA 2026/27 KWENYE MICHEZO
SERIKALI imeweka mkakati wa kuibadilisha taswira ya michezo nchini ikilenga kuipandisha Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, kutoka nafasi…
KILA MECHI NI FAINALI, MOALLIN ASEMA YANGA TAYARI KUIKABILI MASHUJAA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Abdihamid Moallin, amesema kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wa kesho wa Ligi Kuu Tanzania Bara…
KOCHA MKWASA AUNGWE MKONO
Kocha Boniface Mkwasa ameonekana amefungua kituo cha soka kwa vijana wadogo. Ni mwendelezo wa mwitikio chanya ambao Watanzania tumeanza kuwa…
BEN POL, KAMERA ZINAFICHA MENGI NYUMA YETU
TABASAMU zinazoonyeshwa na watu maarufu wanapokuwa mbele ya kamera, kuna wakati mwingine haziendani na maisha halisi ya kila siku wanapokuwa…
YANGA KATIKA HATARI YA KUFUNGIWA USAJILI, FIFA SAA 45 ZA MAAMUZI
KLABU ya Yanga imejikuta katika wakati mgumu baada ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kutoa uamuzi unaowataka kulipa TP Mazembe…
SIMBA YAKAMILIKA, PAMBA JIJI KATIKA HATARI KUBWA
KIKOSI cha Simba SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Steve Barker, kimeanza maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Tanzania…
BACCA NA MWAMNYETO WAPEWA DHAMANA YA KULINDA POINTI TATU
KAZI kubwa ipo kwa safu ya ulinzi ya Yanga kuhakikisha inakuwa imara na makini katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania…
EGT DIGITAL NA MERIDIANBET WAFUNGUA ENZI MPYA YA BURUDANI
Teknolojia inapobadilika, burudani nayo inabadilika. Meridianbet imechukua hatua kubwa kwa kushirikiana na EGT Digital ili kuwapa vijana michezo ya kasino yenye…