Home Tags Afl

Tag: afl

KANOUTE ATAMBA AFL AWEKA REKODI HII MPAKA SASA

0
Mshambuliaji wa klabu ya Simba Kibu Denis Prosper ndiye mchezaji pekee raia wa Tanzania aliyefunga goli kwenye michuano ya African Football League hadi hivi...

HIKI HAPA NDIO KILICHOMPONZA ROBERTINHO MBELE YA AL AHLY

0
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kutoka East Africa Radio, Samwel Rashid mwenyewe anajiita Wakanda Republic amesema kuwa kilichomgharimu Kocha wa Klabu ya Simba,...

SIMBA WAIFANANISHA AL AHLY NA ZAMALEK

0
Uongozi wa Klabu ya Simba imesema kuwa unatambua mchezo wao wa nusu fainali ya African Football League dhidi ya Al Ahly ni mgumu ndani...

NGOMA AIWEKA SIMBA MABEGANI KWA STAILI HII MISRI

0
Wengine wanapenda kumuita Midfielder Teacher, Ni kiungo asiye na mambo mengi uwanjani. Always ni mtu wa kutimiza majukumu yake, Ni better kwenye tactical philosophy, tactical...

HAKUNA UNYONGE AL AHLY ANAPIGIKA MBONA

0
Ubora wa kikosi cha Simba ambao unazungumzwa kwenye midomo na mashabiki pamoja na viongozi ni vitu viwili ambavyo vinafikirisha. Haina maana kwamba wachezaji wa Simba...

ONANA ATOA YA MOYONI MARUDIANO DHIDI YA AL AHLY

0
Kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Willy Onana, ametoa kauli ya kishujaa kueleka mchezo wao marudiano dhidi ya Al Ahly hapo kesho Oktoba 24, 2023. Onana...

MANULA, KRAMO NJE YA DIMBA SIMBA vs AL AHLY

0
Mlinda mlango wa wa klabu ya Simba Sc, Aishi Manula 'Air Manula' na winga Aubin Kramo hawatakuwa sehemu ya kikosi ambacho kitakipiga kwenye mchezo...

ROBERTINHO: NIACHIENI MIMI TUTAWASHANGAZA WA MISRI NYUMBANI KWAO

0
“Niachieni mimi,” hiyo ni kauli ya Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ baada ya kuulizwa maandalizi yake kuhusu mechi ya marudiano ya African...

ROBERTINHO AWAPA NENO HILI MASTAA SIMBA

0
Simba imewasili jijini Cairo nchini Misri tayari kwa mchezo wa kesho wa marudiano ya African Football League dhidi ya Al Ahly lakini kuna mambo...

ROBERTINHO APANGUA KIKOSI UGENINI

0
KOCHA wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ wala hana presha na mchezo wa marudiano akiwatumia salamu Al Ahly kuwa wanakwenda kupambana, huku akipangua kikosi. Simba ilitarajiwa...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS