Tag: chama
MWAMBA WA LUSAKA AMEPATWA NA NINI SIMBA
Mwamba wa Lusaka, Clatous Chama mkali wa pasi za mwisho mambo bado ni magumu kwakwe kwa kushindwa kufurukuta kwenye mechi za hivi karibuni.
Ikumbukwe kwamba...
KWA HILI LA CHAMA NI WAZI MAMBO SIO MAMBO MSIMU HUU
Mwamba wa Lusaka, Clatous Chama mkali wa pasi za mwisho Novemba 8 2023 anatimiza saa 792 za kuganda bila kushangilia pasi yake ya bao...
CHAMA HALI SI HALI SIMBA MAMBO YAZIDI KUWA MAGUMU
Kiungo mshambuliaji wa Simba Clatous Chota Chama ameuanza msimu huu vibaya kwenye ligi kuu tofauti na misimu iliyopita akiwa ndani ya timu hiyo.
Takwimu zilizokusanywa...
BAADA YA KUPIGA MPIRA PAPATUPAPATU SIMBA WAOMBA UTULIVU SASA
Kutokana na kikosi cha Simba kucheza mechi mbili za Ligi ya Mabingwa Afrika mpira papatupapatu, Kocha Mkuu wa Simba Robert Oliveira ameweka wazi kuwa...
CHAMA ALAMBA DILI LA KIBABE
Kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Clatous Chama amesaini mkataba mpya wa binafsi na duka la vifaa vya michezo.
Chama amewaambia wafuasi wake kupitia Instagram kuwa...
CHAMA AFUNGUKA KUHUSU HESHIMA YA SIMBA, ATAKA JAMBO HILI MSIMU HUU...
Kiungo wa Simba SC, Clatous Chama amesema huu ni msimu wao wa kurudisha heshima na kubeba mataji yote ambayo wameyapoteza katika misimu miwili iliyopita.
Simba...
CHAMA, MOLOKO KUIKOSA NGAO YA JAMII ISHU IKO HIVI
Klabu ya Simba SC itamkosa kiungo wake, Clatous Chama kwenye michezo ya ngao ya jamii dhidi ya Singida Fountain Gate kesho Alhamisi, Agosti 10,...
KISA ONANA CHAMA AITABIRIA MAKUBWA SIMBA
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Zambia na klabu ya Simba SC, Clatous Chama aibuka na kutamka kuwa ujio wa kiungo Willy Onana utaifanya timu hiyo,...
CHAMA AFUNGUKA MAZITO BAADA YA KUTUA KAMBINI UTURUKI, KUHUSU KIMATAIFA FULL...
Kiungo Mshambuliaji wa Simba SC, Clatous Chama ameupongeza uongozi wa timu hiyo kwa usajili walioufanya na kukiri kuwa wana kikosi cha mataji msimu ujao.
Chama,...
SIMBA WATAMBA KUHUSU USAJILI WAO MPYA, CHAMA, NGOMA WAHUSISHWA
WAKATI Clatous Chama na Fabrice Ngoma wakiinogesha kambi ya mazoezi ya Simba iliyopo Uturuki baada ya mastaa hao kutimba juzi wakitokea Dar es Salaam,...