Tag: Coastal union
WAGOSI WATAMBA MBELE YA KAGERA SUGAR LIGI KUU
Bao pekee la kiungo Charles Semfuko dakika ya tano limewapa wenyeji, Coastal Unión ushindi wa 1-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi...
AUCHO AFUNGIWA MECHI TATU,REFA COASTAL UNION NA YANGA WAHUSISHWA NJE NUSU...
KIUNGO wa Kimataifa wa Uganda, Khalid Aucho amefungiwa mechi tatu na kutozwa Faini ya Sh. 500,000 kwa kosa la kumpiga kiwiko kiungo wa Coastal...
COASTAL UNION WAMTANGAZA MRITHI WA ZAHERA
Klabu ya Coastal Union inayoshiriki Ligi kuu kandanda Tanzania Bara leo imemtangaza kocha wa zamani wa klabu ya sofapaka raia wa Kenya David Ouma...
GAMONDI AFUNGUKA HALI WALIOPITIA KWA COASTAL UNION NI BALAA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi ameweka wazi kuwa mechi dhidi ya Coastal Union ilikuwa ngumu tofauti na alivyokuwa akifikiria, lakini amefurahi kwa ushindi...
HUKO YANGA UNAAMBIWA UBABE UBABE TU
Vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara Timu ya Yanga imeendelea kujikita kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya NBC kwa kufikisha alama 24 baada...
KIKOSI CHA YANGA KUTOKA KWA SIMBA MPAKA KWA WAGOSI
Kikosi cha timu ya Yanga, leo kimeelekea jijini Tanga kwa ajili ya mchezo ujao wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Coastal Union utakaochezwa...
SIMBA SASA KUPELEKA HASIRA ZAO ZOTE HAPA
Baada ya kupoteza kwenye mchezo wao uliopita wa ligi dhidi ya Simba hasira za Coastal Union zinahamia kwa Tabora United unaotarajiwa kuchezwa leo Septemba...
SIMBA YACHAPWA FAINI NA BODI YA LIGI KISA HIKI HAPA
Klabu ya Simba SC imepigwa faini ya shilingi million moja (1,000,000/=) na bodi ya ligi TPLB.
Hii ni baada ya maafisa wake usalama kumfanyia vurugu...
SIMBA WAITAMANI COASTAL UNION….. ISHU YAFIKA BODI YA LIGI
Wekundu wa Msimbazi Simba SC, wamekiri kuwaandikia bodi ya Ligi barua ya kuomba wacheze raundi ya tatu mechi dhidi ya Coastal Union.
Akizungumzia suala hilo,...