Tag: hababri za michezo
MSHAMBULIAJI HUYU AWAOGOPA WANANCHI…”HAKUNA KITU KIGUMU KAMA KUCHEZA NA YANGA
Mshambuliaji wa Kagera Sugar, Amza Moubarack Ngamchiya amesema ni kazi ngumu kucheza na timu kubwa kama Yanga yenye kila aina ya wachezaji bora ambao...
MBUNGE AMGEUKIA MO DEWJI…ANATAKA APIGIWE MAGOTI NA SIMBA…ISHU NZIMA HII HAPA
Siku moja baada ya Mwanachana na Shabiki wa Simba SC Ally Mikoi 'Kisugu' kumtaka Mbunge wa Makete Festo Sanga kuacha
kuizungumzia Simba SC vibaya, Mbunge...
ANGUKO LA YANGA DHIDI YA IHEFU WA KULAUMIWA HUYU HAPA
Wananchi wanatoka vichwa chini Highland Estates. Kwa mara nyingine tena highland Estates uwanja mgumu kwa Wananchi, wanadondosha alama tatu kama ilivyokua msimu uliopita.
Yangasc walifanya...
HAPA SIMBA PALE YANGA, HUYU USHINDI YULE TREND SIO POA
Ukiingia kwenye mitandao haswa kwa wanamichezo trend ni #KeyDay ya mechi ya Yanga ambayo imekua dedicated kwa Aziz Ki.
Yanga inazungumzwa sana, Picha zinapostiwa saana...
BALEKE ATOA AHADI HII LEO DHIDI YA COASTAL UNION…
Straika wa Simba SC, Jean Baleke amesema leo, watawashushia mvua ya magoli Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.
Simba SC anashuka dimbani...
UNAAMBIWA YANGA WAMEKUTANA NA KIBONDE……ISHU IKO HIVI
Mchambuzi wa TV3 Alex, Ngereza amedai kuwa timu ya soka ya Yanga SC imekuwa kikikutana na vibonde kwenye mashindano ya CAF ndiyo maana inashinda...
KIKOSI CHA SIMBA KIMESHATUA ZAMBIA KIBOSI
Kikosi cha wachezaji na Benchi la Ufundi la Simba Sc Wamewasili Salama nchini Zambia tayari Kwaajili ya Mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika Mzunguko...
WAKILI WA YANGA, AWAPIGA DONGO HILI SIMBA SC, MANGUNGU AHUSISHWA
Jumapili iliyopita Simba walikuwa na Tamasha lao la "Simba Day" katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
Kilele cha Tamasha hilo kilifana sana...