Tag: HABAR ZA MICHEZO
KUHUSU ISHU YA KIBU DENIS NA SIMBA…KUMBE HUYU NDIO ANAYEVURUGA
Pichani ni Carlos Sylvester , Agent wa wachezaji mbalimbali kwenye ligi yetu akiwa na viongozi wa Timu za Simba na Yanga.
Pale Yanga anawasimamia wachezaji...
MCHAMBUZI: YANGA KULA MKWANJA MNENE KWA AZIZ KI…ISHU NZIMA IPO HIVI...
Kwa umri wa Gaucho Aziz Ki wa miaka 28 simuoni akicheza misimu miwili au mitatu zaidi hapa katika vile viunga vya Jangwani.
Kwa ubora alionao...
HUYU HAPA MRITHI WA BENCHIKAH SIMBA…KUMBE WALIFANYA KAZI NA KOCHA WA...
Taarifa zilizotufikia zinaeleza kuwa Klabu ya Simba SC huenda ikampa kipaumbele Kocha Omar Najhi (wa pili kutoka kushoto) kuwa Kocha wao Mkuu akirithi pahala...
YANGA KUMSAJILI MSHAMBULIAJI HUYU SIMBA…AHMED ALLY AVUNJA UKIMYA
Wakati sakata la Mshambuliaji Kibu Denis kugoma kusaini mkataba mpya Simba SC likiendelea kuchukua nafasi kubwa katika Mitandao ya Kijamii, Meneja Habari na Mawasilino...
AISEE!! YANGA YAFANYA MAAMUZI HAYA MAGUMU…FAILI ZIMA HILI HAPA
Kwa mujibu wa almachiuskanyasi Klabu ya Young Sports Club ilikwishaanza Mazungumzo ya kuwaongezea Kandarasi baadhi inatamatika na wanahitajika klabuni Wachezaji hao ambao Mikataba yao.
Farid...
AZAM KUTIKISIKA YAPATA PIGO HILI…MASHINE HII HATARI KUTUA BONGO
Beki wa kati wa Azam FC, Malickou Ndoye ameonyesha nia ya kuondoka ndani ya timu hiyo baada ya msimu huu kumalizika kutokana na kutokuwa...
JE YANGA KUCHUKUA UBINGWA LIGI KUU?…HESABU KAMILI HIZI HAPA
Kimahesabu ya kimpira, mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara zilikamilika siku ile ambayo Simba ilipoteza kwa mabao 2-1 mbele ya Yanga katika...
BEKI HUYU YANGA ALIWA NGUMU MKATABA MPYA…KUSAJILIWA AZAM FC
Beki wa Yanga, Shomari Kibwana ni kati ya wachezaji ndani wa kikosi hicho ambao mikataba yao inaishia mwisho wa msimu huu (2023/244), lakini bado...
SIMBA BADO KUNAFUKUTA MOTO…ZIMBWE JR AWAACHIA MSALA HUU WAZAWA
Simba bado kunafukuta Timu hiyo inapitia kipindi kigumu cha mpito ambacho mambo mengi yametokea na yatatokea lakini wakijipanga vizuri yatapita na wakali hao wa...
SABABU YA KIBU DENIS KUGOMEA MKATABA MPYA SIMBA…KUMBE YANGA WAMWAGA DAU...
Mwanaspoti linajua kama mambo yataenda yalivyo, wakati wowote Simba inaweza kumpoteza kiungo wao mshambuliaji mpambanaji Kibu Denis Prosper
Ni kama yuko mlangoni kuingia kwa watani...