Home Tags Habari za yanga

Tag: habari za yanga

SIMBA YATANGAZA VITA BAADA YA KUICHAPA PRISONS…FADLU AHUSIKA NA MCHONGO

0
KLABU ya Simba SC wakiwa uwanja wa Sokoine Mbeya wameibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu...

TFF YAIPA SIMBA NA YANGA MAELEKEZO HAYA

1
RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Wallace Karia, amezitaka timu za Ligi Kuu zenye wachezaji walio chini ya miaka 20 na...

HABARI NJEMA KWA SIMBA… HAMZA ATULIZA PRESHA YA DABI

0
Simba ina habari njema juu ya beki wake wa kati, Abdulrazack Hamza ambaye alipata majeraha muda mfupi baada ya kujiunga na kambi ya timu...

TAKWIMU ZA MISIMU 5…SIMBA NA YANGA HEAD 2 HEAD

0
Kwa takribani misimu mitano ya nyuma klabu ya Yanga imekuwa tishio dhidi ya Simba haswa pale miamva hii inapokutana uwanjani. Kwenye michezo 10 waliyocheza ndani...

ASALALEKI… GAMONDI NA FADLU PRESHA YA DABI YAWAINGIA.

0
KARIAKOO DABI Imeanza kunoga, zikiwa zimesalia siku chache tu kupigwa kwa mchezo unaovuta hisia kali za mashabiki wa soka nchi na Afrika na duniani...

HIVI NDIVYO ALI KAMWE NA AHMED ALLY WALIVYOTAMBIANA KUELEKEA DABI YA...

0
Semaji la Caf Ahmed Ally amekutana uso kwa uso na Ali Kamwe Semaji la Wananchii, ambapo sababu ya kukutana kwao ni timu ya Taifa...

WANANCHI NJOONI HUKU KUNA UJUMBE WENU OKTOBA 19 MNAENDA KUKAANGWA

0
Semaji la Simba Sc Ahmed Ally, anasema siku ya Tarehe 19 Oktoba katika Dimba la Benjamin Mkapa Wananchi wanaenda kukaangwa kwenye mchezo wa Derby...

KWENYE DABI SIMBA ANAINGIA KAMA TIMU YA PILI

0
Kuelekea mchezo mkali wa Dabi ya Kariakoo, Oktoba 19 tayari mambo yamezidi kupamba moto, ambapo joto kali limezidi kupanda kwa kasi kwenye kambi za...

MSHERY NA ALLY SALIM WANATEGEMEWA NA TAIFA.

0
WALINDA Mlango wa Simba na Yanga Ally Salim Katolo na mwenzake AbdulTwalib Mshery wanategemewa sana na taifa, lakini nafasi zao za kucheza kwenye vilabu...

YANGA NA HESABU ZA ROBO FAINALI ZIKO HIVI.

0
Klabu ya Yanga imesema kutokana na ubora wa kikosi ilichonacho pamoja na uzoefu, itavuka hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika na kwenda...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS