Tag: kwa mkapa
SERIKALI YAPIGA KWENYE MSHONO UWANJA WA UHURU
Serikali imevifunga viwanja vya Benjamin Mkapa na Uhuru, Dar es salaam mpaka hapo ukarabati utakapokamilika Oktoba 2024.
Taarifa ya serikali imekuja baada ya Shirikisho la...
SASA NI SIMBA NA REKODI HIZI ZA KIBABE KWA MKAPA
Baada ya kumaliza kipindi cha kwanza cha ikiwa inaongoza kwa mabao 2-0, dhidi ya Wydad Casablanca, Simba imefanikiwa kuweka rekodi tofauti tofauti.
Kwanza ndio imekuwa...
YANGA CAFCL WARUDISHA AKILI KWA MKAPA BAADA YA KUSHINDWA KUTAMBA UGENINI
Baada ya kutoka sare ya bao 1-1 ugenini dhidi ya Medeama juzi, mechi mbili zijazo za nyumbani zimeshikilia kwa kiasi kikubwa ndoto za Yanga...
TUKUTANE KWAMKAPA NDIO KAULI ILIYOBAKIA SIMBA…. HUKU BENCHIKHA AKIBAKIA NA DADIKA...
Tukutane Kwa Mkapa. Ndio kituo kinachofuata kwa Simba baada ya jana usiku kupoteza mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Wydad Casablanca kwa...
BAADA YA KIFINYO YANGA WAFUNGUKA HAYA
Msemaji wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe amedai kuwa wao walimiliki zaidi mpira lakini wapinzani wao, kwenye mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi...
LEO NDIO LEO KAMA HAUNA TIKETI USIONEKANE KWA MKAPA POLISI WATOA...
Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema asiyekuwa na tiketi hataruhusiwa kusogelea uwanja au maeneo ya milango ya kuingia katika mchezo...
MASTAA WATAKAO IUA AL AHLY WAWEKWA WAZI SIMBA
Uongiozi wa Simba umeweka wazi kuwa uwepo wa wachezaji wanaofanya vizuri kwenye kikosi hicho eneo la uwanja wa mazoezi ni nguvu kubwa kuelekea mchezo...
MCHAMBUZI AMPA USHAURI HUU ROBERTINHO LEO DHIDI YA AL AHLY
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini, Salama Ngale amesema kuwa safu ya kiungo ya Klabu ya Simba bado inapwaya hivyo kocha wao, Robertinho anapaswa...
AL AHLY ATAKUBALI KUENDELEZA UTEJA DHIDI YA SIMBA LEO AFL
Leo dunia ya soka itahamia Tanzania katika Uwanja wa Benjamin Mkapa. Ni katika uzinduzi wa michuano mipya ya African Football League ambapo pamoja na...
MWANA FA AWEKA WAZI WALICHOCHANGIA SIMBA
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma maarufu kama Mwana FA amesema kuwa iwapo kuna timu inataka kutoa chochote kwa ajili ya...