Tag: mayele
KOCHA MAMELODI AMCHANA MAYELE KISA VISA
Kocha wa Mamelodi Sundowns, Rulani Mokwena amejibu tuhuma za mshambuliaji wa Pyramids FC, Fiston Mayele kuwa alinyimwa viza ya kuingilia Afrika Kusini wiki mbili...
MAYELE ALISTAHILI TUZO MBELE YA HUYU MWAMBA
Mchambuzi wa soka nchini Tanzania na mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania Amri Kiemba amesema Fiston Mayele alistahili kupata tuzo mbele...
VITA YA UFUNGAJI HUKO LIGI YA MABINGWA AFRIKA SIO POA
Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi inaanza leo kwa mechi mechi mbili za kibabe, Yanga ikiwa ugenini Algeria dhidi ya CR...
YANGA BADO ANAMSAKA PACHA WA MAYELE
Taarifa za uhakika kutoka Yanga SC ni kwamba klabu hiyo inaufuatilia kwa karibu uongozi wa mshambuliaji Sankara William Karamoko (20) ili kupata saini yake...
MRITHI WA MAYELE YANGA HALI TETE AKOSA PAKUSHIKA
Mshambuliaji Emmanuel Mahop, aliyekuwa akihusishwa kujiunga na Yanga kwenye dirisha lililopita la usajili amerudi nchini Cameroon baada ya kufeli majaribio katika Klabu inayoshiriki Ligi...
INONGA MAYELE NDANI YA JAHAZI MOJA CONGO
Licha ya kuendelea kuuguza majeraha aliyoyapata katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Coastal Union, Septemba 21 katika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam,...
MZIZE AFUNGUKA KUHUSU MAYELE KWENYE HILI
Mshambuliaji wa Klabu Bingwa Tanzania Bara Young Africans, Clement Mzize, ametoa siri ya bao pekee alilofunga dhidi ya Al-Merrikh ya Sudan kwenye mechi ya...
MAYELE HALI IMEBADILIKA PYRAMIDS
Straika wa zamani wa Yanga Fiston Mayele ameendelea kuwa na mwanzo mbaya Pyramids baada ya kucheza mechi mbili za ligi bila kufunga wala kupiga...
KIPIGO CHA YANGA DHIDI YA SIMBA CHAMUIBUA MAYELE…… AFUNGUKA HAYA
Mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Fiston Kalala Mayele amesema kuwa licha ya Yanga kupoteza kwa kushindwa kubeba Ngao ya Jamii mbele ya Simba anaamini...
MAYELE AIKATAA YANGA HADHARANI MBELE YA MASHABIKI, ASEMA YEYE SIO SHABIKI...
Mshambuliaji wa zamani wa AS Vita Club ya Congo na Yanga SC, Fiston Kalala Mayele ambae kwa sasa nakipiga kwenye Klabu ya Pyramids FC...