Tag: Simba
UONGOZI SIMBA WATOA UFAFANUZI HUU JINSI WATAKAVYOPITA NA UPEPO LIGI YA...
UONGOZI wa Simba, umeweka wazi kuwa njia, pekee itakayowapeleka katika hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika ni kushinda mechi zote za nyumbani...
HII HAPA RATIBA NZIMA YA SIMBA SC KA MWEZI DESEMBA
Hello Desemba 9, ikiwa ni siku ya kutimiza miaka 62 Uhuru wa Tanganyika. Hivi hapa vigongo vya Simba ndani ya Desemba kitaifa na kimataifa...
SIMBA YAIBIGA MKWARA WA KIBABE WYDAD
Wakati Simba ikijiandaa na mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika, beki wa Wydad Casablanca ya Morocco, Arsene Zola amekiri Mnyama ana mabadiliko...
OYAA EEE MSIMCHUKULIE POA LAKRED ….. UONGOZI SIMBA NAO WATIA NENO
Meneja wa idara ya habari wa klabu ya Simba Ahmed Ally, ametoa taahadhari kwa mashabiki wanaobeza uwezo wa mlinda lango wao raia wa Morocco...
HATMA YA SIMBA IPO KWA MKAPA UONGOZI WAFUNGUKA HAYA KUHUSU WYDAD
Klabu ya Simba imesema kuwa hatima yao ya kufuzu hatua ya makundi na kwenda robo fainali ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika iko mikononi...
HUWEZI KUAMINI, ILA UKWELI WOTE HUU HAPA DADIKA 630 BILA USHINDI...
Huwezi kuamini, lakini ndio ukweli kwamba, Simba imetimiza dakika 630 bila kupata ushindi kwenye michuano ya kimataifa, kitu ambacho hakijawahi kutokea kwa timu hiyo.
Juzi...
BAADA YA KUSUASUA KATIKA MICHEZO YA CAFCL MGUNDA AWAPA NENO HILI...
MKURUGENZI wa ufundi wa Simba, Juma Mgunda amewataka mashabiki wa timu hiyo kuwa wamoja na kuwapa ushirikiano viongozi wao hasa katika kipindi hiki cha...
MASTAA HAWA SIMBA, WYDAD KUUKOSA MCHEZO WA MARUDIANO KWA MKAPA
Kiungo mkabaji wa simba Sadio kanoute na nahodha wa timu ya Wydad, Yahya Jabrane wataukosa mchezo wa marejeano wa Ligi ya Mabingwa Afrika katika...
TUKUTANE KWAMKAPA NDIO KAULI ILIYOBAKIA SIMBA…. HUKU BENCHIKHA AKIBAKIA NA DADIKA...
Tukutane Kwa Mkapa. Ndio kituo kinachofuata kwa Simba baada ya jana usiku kupoteza mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Wydad Casablanca kwa...
KAMA ULIVYOSIKIA SIMBA WAKUBALI KIPIGO DADIKA ZA LALASALAMA
Wekundu wa Msimbazi, Timu ya Simba SC imekubali kichapo cha 1-0 ugenini dhidi ya wenyeji Wydad Casablanca na kuporomoshwa mpaka mkiani mwa msimamo wa...