Tag: soka la bongo
PHIRI ATAMBA, ATANGAZA HALI YA HATARI KWA AZAM, YANGA……ISHU IKO HIVI
MSHAMBULIAJI wa Simba, Mzambia, Mosses Phiri, ametangaza hali ya hatari kwa mabeki wa timu za Ligi Kuu Bara zikiwemo Yanga na Azam kwa kuwaambia...
GAMONDI AWAWEKEA MKAKATI WA HATARI KMC LEO
LEO Jumatano Agosti 23, 2023 Yanga ikitarajiwa kuvaana na KMC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Miguel Gamondi ameweka...
ROBERTINHO AANZA KUTOA LUGHA TATA,,,,, ISHU IKO HIVI
NI kama ameanza tambo Kocha Mkuu wa Simba, Mbrazili, Roberto Oliveira ‘Robertinho’, baada ya kusema kwa sasa anataka kuona wachezaji wake wakicheza soka zuri,...
DAWA YA KIBU KUCHEZA KIKOSI CHA KWANZA SIMBA HII HAPA
Nilikuwa nasoma mahala Himid Mao akimzungumzia mchezaji wa Simba, Kibu Denis. Kwamba walinzi wengi watachukia kumkaba mchezaji wa aina yake. Ni msumbufu. Ni kweli...
LICHA YA UBUTU WA SAFU ZA USHAMBULIAJI YANGA, GAMONDI AFUNGUKA SOKA...
Kocha Miguel Gamondi alisema licha ya ubutu wa safu ya ushambuliaji ila hana wasiwasi na hilo kutokana na aina ya soka analofundisha kwani kila...
ROBERTINHO AFUNGUKA KUHUSU SOKA ANALOLITAKA SIMBA
Kocha mkuu wa Simba, Roberto Oliviera ‘Robertinho’, amesema anataka kuona wachezaji wake wakicheza mpira mzuri na tayari ameanza anaona muelekeo wa kikosi chake kucheza...
SIMBA WAITAMANI COASTAL UNION….. ISHU YAFIKA BODI YA LIGI
Wekundu wa Msimbazi Simba SC, wamekiri kuwaandikia bodi ya Ligi barua ya kuomba wacheze raundi ya tatu mechi dhidi ya Coastal Union.
Akizungumzia suala hilo,...
SIMBA RAHA TU….. ROBERTINHO ASEMA NI MWENDO WA USHINDI TU
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
SIMBA MAJANGA, INONGA NAE ASEPA ISHU IKO HIVI
Beki wa Simba,Henock Inonga amerudi kwao DR Congo baada ya kuumia bega katika mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Singida FG kwenye Uwanja...
PHIRI MAMBO MAGUMU SIMBA, MKATA UMEME KUTOKA TOGO HUYU HAPA MSIMBAZI
HUENDA muda wowote kuanzia leo, Simba inaweza kumalizana na straika wao raia wa Zambia, Moses Phiri ili kumpisha kiungo mkata umeme raia wa Togo,...