Tag: soka la bongo
YANGA WAMTISHA DUBE, HUKU NAE AJIBU HILI
Mshambuliaji wa Azam FC, Prince Dube amesema mechi ijayo dhidi ya Yanga itakuwa ngumu, lakini Azam haitaingia kinyonge kwa kuwa wanazitaka alama tatu.
Dube ndiye...
TRY AGAIN AWAKUMBUSHA WATANZANIA JAMBO HILI MUHIMU SIMBA VS AL AHLY
Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa Klabu ya Simba, Salim Abdallah 'Try Again' amesema kuwa mchezo wao wa robo fainali ya African Football League...
JOB AMTULIZA MAZIMA CHE MALONE
Mwamba Dickson Job beki wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga amemtuliza mazima mwamba Che Malone kwenye kuzuia hatari katika lango hilo ndani ya...
SIMBA NA YAHYA MBEGU MPAKA KIELEWEKE
Taarifa kutoka ndani ya Klabu ya Simba zinasema kuwa, viongozi wa timu hiyo bado wanaendelea kufuatilia kwa karibu Kiwango cha Yahya Mbegu wa Singida...
MWANA FA AWEKA WAZI WALICHOCHANGIA SIMBA
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma maarufu kama Mwana FA amesema kuwa iwapo kuna timu inataka kutoa chochote kwa ajili ya...
YANGA VS AZAM SIO POA KWA HALI HII LOLOTE LINAWEZA KUTOKEA
Benchi la Ufundi la Young Africans, limeanza kukiandaa kikosi chao kuhakikisha kinakuwa bora kabla va kukutana na Azam FC, katika mchezo wa Mzunguuko wa...
MBABE WA YANGA HAPOI AIBUKIA HUKU
ZUBER Katwila, aliyekuwa kwenye benchi Uwanja wa Highland Estate ubao uliposoma Ihefu 2-1 Yanga anatajwa kuwa katikà hesabu za mabosi wake wa zamani Mtibwa...
JAMBO LISIWE GUMU MASTAA SIMBA WAJAZWA MINOTI MAPEMA AFL DHIDI YA...
WACHEZAJI wa Simba washindwe wao tu sasa hivi hiyo ni baada ya kuhakikishiwa kupewa pesa ya maana katika michezo miwili ya robo fainali ya...
JANJA YA MAXI KUMBE IKO HAPA
MAXI Nzengeli nyota wa Yanga mwenye spidi na uwezo wa kutoa pasi ndefu na fupi akiwa ndani ya uwanja ujanja wake wa kufunga mabao...
MAMBO NI MOTO CHAMPIONSHIP KOCHA MWINGINE ATUPIWA VIRAGO
Klabu ya @standunitedfc 'Chama la Wana' yenye maskani yake Shinyanga, imemfuta kazi kocha wake mkuu Zulkifri Iddy, kutokana na mwenendo usioridhisha wa timu hiyo...