Tag: soka la bongo
YANGA YAWEKA REKODI HII YA KIPEKEE LIGI KUU
Timu Tisa zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Primia Ligi) 2023/24 ambazo ni;
Tanzania Prisons
Coastal Union
Kagera sugar
JKT Tanzania
Namungo
Ihefu,
Singida Big stars
Geita Gold
Timuzote hizo pamoja zimefunga mabao...
AHAMED ALLY AJA NA JIPYA KUHUSU KRAMO, ISHU IKO HIVI
Nyota mpya wa Simba SC, Aubin Kramo yupo nchini na hajaenda kutibiwa nchini kwao kama ilivyoripotiwa awali.
Akizungumzia hali yake, Meneja wa Habari na Mawasiliano...
SIMBA HAWAPOI MAWINDO YANAENDELEA SASA WAHAMIA HUKU
Baada ya kupata ushindi mnono dhidi ya Coastal Union katika mechi ya Ligi Kuu ya NBC, Wekundu wa Msimbazi Simba SC akili yao wanaielekeza...
MCHAWI WA SIMBA APATIKANA
Mashabiki wa Simba na viongozi wakati huu kila mmoja anatafuta mchawi katika kikosi kutokana na kuruhusu mabao manne katika mechi tano ilizocheza.
Simba imecheza mechi...
BOLI LIMERUDI, MUDATHIR ANABALAA
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
HAKIKISHA JINA LINATOKA BALEKE
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
UPDATE : INONGA HAJAVUNJIKA HALI YAKE IKO HIVI
Taarifa mpya kutoka ndani ya Simba SC ni kwamba beki wao Henock Inonga anaendelea vizuri na kwamba hajavunjika.
Inonga aliumia kwenye mchezo dhidi ya Coastal...
INONGA HALI TETE AKIMBIZWA HOSPITALI
Beki kisiki wa Simba SC, Henock Inonga amejikuta akikimbizwa hospitali baada ya kupata majeraha wakati wa mechi dhidi ya Coastal Union inayoendelea leo Septemba...
KWA HILI GAMONDI AMPE HEKO KAZE
Ilikuwa mechi nzuri ya Ligi Kuu ya NBC, Yanga dhidi ya Namungo huku Yanga akishinda mchezo wa tatu mfululizo na kushinda mechi zote na...
BALEKE ATOA AHADI HII LEO DHIDI YA COASTAL UNION…
Straika wa Simba SC, Jean Baleke amesema leo, watawashushia mvua ya magoli Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.
Simba SC anashuka dimbani...