Home Tags Soka la bongo

Tag: soka la bongo

ROBERTINHO ASHTUKIA MCHEZO

0
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo

NAMUNGO vs YANGA VIINGILIO HADHRANI, MAMBO YAPO HIVI

0
Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Yanga Ali Kamwe amewataka Wanachama na Mashabiki wa timu hiyo kujitokeza kwa wingi kwenye mchezo wa ligi...

ROBERTINHO MATATANI SIMBA, UONGOZI WATOA TAMKO HILI

0
Taarifa za ndani kutoka Simba zinaeleza kuwa Kibarua cha kocha wa Simba kipo mashakani hiyo ni baada ya Uongozi wa Simba kumpa mechi moja...

UCHOCHORO WA SIMBA KUWA KIBONDE UKO HAPA

0
Tangu Golikipia namba moja wa Simba SC, Aishi Manula apate majeraha ambayo ndiyo yamemweka nje mpaka sasa, Simba imekuwa sio timu tena ya kuhakikisha...

ROBERTINHO AKUNA KICHWA AONA HAPANA……….. SASA AMEKUJA NA HESABU HIZI

0
Kocha wa Simba, Robert Olveira 'Robertinho' amesema wanarudi na hesabu kali huku wakijipanga vizuri kwa kushinda watakapokuwa nyumbani mbele ya mashabiki wao, lakini kwanza...

GAMONDI AJA NA MSIMAMO HUU KWENYE SHEREHE ZA YANGA

0
Kocha Mkuu wa Young Africans, Miguel Gamondi amesema pamoja na ushindi walioupata juzi dhidi ya Al Merreikh ya Sudan lakiní bado wana kazi ya...

NGEREZA AWALIPUA SIMBA……… LABDA YANGA LAKINI SIMBA HAWATOBOI

0
Baada ya Simba kulazimishwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya Power Dynamos ya Zambia mchezo wa mtoano mkondo wa kwanza kuwania kufuzu hatua ya...

GAMONDI BADO AWATAMANI AL MAREIKH…….ATOA KAULI HII

0
Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi licha ya kuwapongeza wachezaji wake amesema walistahili ushindi mkubwa zaidi ya huo dhidi ya wapinzani wao. Gamondi alisema bado hawajamalizana...

KOSA LA SIMBA KUSHINDWA KUTAMBA KIGALI……. HILI HAPA

0
Meneja wa Habari na Mawasiliano, Klabu ya Simba, Ahmed Ally amesema baada ya sare ya mabao 2-2 dhidi ya Power Dynamos, kikosi kinarejea nchini...

HISTORIA KUANDIKWA WAACHENI WAJE, HAIJAWAHI KUTOKEA AFRIKA….. MAKOCHA WAFUNGUKA

0
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS