Tag: soka
DUKE ABUYA AIPIGA MKWARA YANGA
Nyota wa Singida Big Stars, Duke Abuya amesema ni muda kwao wa kuonyesha ubora wao mbele ya Yanga kesho kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.
“Kila...
UONGOZI YANGA WAKAA KIKAO AJENDA KUU NI UBINGWA TU
Oktoba 25 Kamati ya Utendaji ya Yanga chini ya Rais Eng Hersi Said imekaa kikao cha pili cha kikatiba kwa mwaka 2023 kujadili mambo...
KWA UPANDE HUU SIMBA PASUA KICHWA
Katika mechi tano mfululizo walizocheza Simba hawajaambulia clean sheet, (kucheza bila kuruhusu bao) zaidi ya kutunguliwa mabao sita.
Makosa yapo katika eneo la kiungo anapocheza...
KIKOSI CHA YANGA KIPO TAYARI KWA AJILI YA SINGIDA GAMONDI ATIA...
Kocha mkuu wa kikosi cha Yanga SC, Miguel Gamondi, amezungumzia mchezo wa kesho Ijumaa wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Fountain Gate.
Mchezo...
MAJANGA MKUDE AMFUNGULIA MASHTAKA MO DEWJI ADAI FIDIA KISA HIKI HAPA
Mchezaji wa Klabu ya Yanga, Jonas Mkude amefungua kesi katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam akiidai Kampuni ya Mohamed Enterprises Tanzania Limited...
ALIYELETA JEZI FEKI SIMBA, YANGA KUANIKWA HADHARANI LEO
Mzabuni wa jezi za Klabu ya Simba na Mfanyabiashara mkubwa wa Maduka ya Nguo @sandalandtheon1 leo atamuanika kwa jina aliyeleta jezi feki na kuzisambaza...
GAMONDI AWEKA MPANGO YAKE MEZANI DHIDI YA SINGIDA
Kocha Mkuu wa Kikosi cha Yanga, Miguel Gamondi amezungumzia mipango yake kuelekea mchezo ujao wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Fountain Gate.
Mchezo...
KUMBE SIMBA WALITAKA WENYEWE KUTOLEWA NA AL AHLY
Mchambuzi wa Wasafi Fm, George Job amesema anaamini kuwa Klabu ya Al Ahly walikuwa wapo vibaya kiasi ambacho Simba Sc wamepoteza nafasi ya kuwatoa...
YANGA: WALETENI AL AHLY TUWAONESHE
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
GAMONDI AFUNGUKA HAYA KUHUSU MCHEZO WAO NA SINGIDA FG
Kocha Mkuu wa Kikosi cha Yanga, Miguel Gamondi, amezungumzia mipango yake kuelekea mchezo ujao wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Fountain Gate.
Mchezo...